Kaka wana mila zao kijijini wameniambia tangu tar 2 wanataka.....

Lovebird

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
5,725
7,562
Hoja,

Rafiki angu amemwajiri kijana (kisambaa) kufanya kazi, baadaya ya wiki kadhaa akamtumia bosi ujumbe huu "kaka wana mila zao kijijini wameniambia tangu tar 2 wanataka TZS (000000)...kwa ajili ya kusafisha nyota yake.

Akapewa hizo TZS

Sasa amerudi na hoja nyingine tangu aajiriwe hela haoni, yaani anahisi mkewe amemchafulia nyota yake ya kupata hela

Msaada unahitajika kujua sera za vijana wa Kisambaa katika maswala ya utendaji kazi/mila/nk kwa anayefahamu
 
Baadae ataambiwa fulani kakuroga.. shit! kila k2 kna 2sides ukipata kwann usikubali pia kula hasara kwa muda?
 
natamani bosi wengi wangekuwa wanatoa hela kirahisi hivyo. employees tusingekuwa na shida zinzotuandama
 
Hoja,

Rafiki angu amemwajiri kijana (kisambaa) kufanya kazi, baadaya ya wiki kadhaa akamtumia bosi ujumbe huu "kaka wana mila zao kijijini wameniambia tangu tar 2 wanataka TZS (000000)...kwa ajili ya kusafisha nyota yake.

Akapewa hizo TZS

Sasa amerudi na hoja nyingine tangu aajiriwe hela haoni, yaani anahisi mkewe amemchafulia nyota yake ya kupata hela

Msaada unahitajika kujua sera za vijana wa Kisambaa katika maswala ya utendaji kazi/mila/nk kwa anayefahamu

wasambaa halisi ni wachapakazi mno, ni watu ambao hawakubali kushindwa kitu(hata kwenye ubishi). mchunguze vizuri huyo kijana inawezekana anatoka tanga lakini akawa sio msambaa. hayo mambo uliyoyataja yanaendekezwa na wabondei, wadigo na wazigua.
 
Kama vile nimeshidwa kuambulia kitu kwenye hii thread, nadhani mimi kilaza ama kihiyo.

Nitarudi Mungu akipenda
 
Watu bwana! Huyo tu ni hausiboi unaomba na ushauri kwa jamii. Angekuwa mwenza? Kha!
 
mtu unamlipa mshahara halafu akusumbue na huo ujinga...................!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom