Kaka Obama Achanika Mdomo Baada ya Kupigwa 'Kipepsi'

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,268
33,040
<table border="0" cellpadding="0" cellspacing="0"><tbody><tr><td colspan="3" style="padding-left: 10px; padding-top: 5px; width: 491px;"></td> </tr> <tr style="background-color: rgb(225, 225, 225); padding-top: 10px;"> <td style="width: 250px; padding-left: 5px; padding-bottom: 5px; padding-top: 5px;" valign="top">
5170898.jpg

Obama akiuguza mdomo wake</td> <td style="padding-left: 10px; width: 316px;" valign="top"> Sunday, November 28, 2010 3:21 PM
Rais wa Marekani, Barack Obama ameshonwa nyuzi 12 kwenye mdomo wake baada ya kupigwa kiwiko kwenye mdomo wake wakati akicheza mpira wa kikapu pamoja na ndugu na jamaa zake wa karibu.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;"> Obama alikuwa akicheza mpira wa kikapu pamoja na ndugu na jamaa kwenye kambi ya jeshi la Marekani ya Fort McNair mjini Washington, wakati kwa bahati mbaya mcheza wa timu pinzani aliporusha kiwiko chake na kumtandika Obama mdomoni.

Msemaji wa ikulu ya Marekani alisema kuwa Obama alipasuka mdomo na alipatiwa matibabu na madaktari wa ikulu.

Hata hivyo taarifa ya ikulu ya Marekani haikusema ni nani ndiye aliyempasua Obama mdomo wake kwa kiwiko.

Chini ni VIDEO ya tukio hilo.</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; text-align: center; width: 491px;">
</td> </tr> <tr> <td colspan="3" style="vertical-align: top; width: 491px;">

VIDEO - Obama Apasuliwa Mdomo na Kiwiko



Chanzo: NIFAHAMISHE Tanzania news portal .: Habari za Tanzania :.
</td></tr></tbody></table>
 
Last edited by a moderator:
kiduku ngoma gaani hashy,,,,,,,,sijakuandama ulinikaribisha vizuri jana ukanikarimu na ucheshi wote kwa hiy naomba uwe mwenyejiwangu unijuze mi mgeni????

dah ndo unanitunuku? Dah....ntakutembeza kote humu jf halafu tutamaliza kona ya wakubwa!
 
mwenzangu!, so low!, eti kitambi ndo heshima, it's acutually ugonjwa

mmmmhhhh huo ulikuwa utani tu ...
hata hivyo kwa wakuu wetu kitambi ni heshima na unene ni sifa...
na unene si ugonjwa bali unasababisha au ni chanzo cha magonjwa mengi....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom