Kaka magu hizi sifa sasa, yaani hadi mm kipofu unanisomesha namba!? vibaya ivoo. afu iyo chaki umeag

Nov 18, 2016
55
43
nimegundua ukitaka kumtukana kaka magu inabidi uwe US:) shkamoo Mange.

sasa kaka, kwanza olehoo? amamiremo? nkoi awize toleho, hekaheka doho nkoi.

:( naona hunielewi, ngoja nikubadirishie gia angani:

NI KWAMBA, KAKA UMEBANA. ILA IDEA YAKO YA KUBANA MATUMIZI NI TAMU (kwa tuliokuwa tumeshazoea kupigwa mizinga ni sehemu ya maisha yetu ya kila cku) [HASHTAG]#JustSaying[/HASHTAG] [HASHTAG]#TeamKujambishwa[/HASHTAG]

Sasa kaka, ujue mio kipofu ivooo, lakini nimeisoma kaka...na hadi nimeijua hiyo chaki, kaka hii umeiagiza nje kaka:)

Kaka na kwan hao IT wa Olgravex c ndo wanashirikiana na bamdogo pale TISS kunitrack IP yangu kaka...kaka kwan nmefanyeje kaka, coz ka VPN kangu kamekuwa broked kila kona. Yaan uniache nilee shamba Biharamulo afu saiv uje unitrack IP daresalama...kaka hapa umechemsha, but anyway.

Back to the topic. kaka mie kipofu...hebu futa futa hizo namba apo ubaoni kaka, sizioni.

Na nyie Halotel mnaisoma nn, coz sijamaliza kumuandikia kaka afu mnakata bundle, mmeona naandikia wino wa maru maru au? msipojichunga nahamia kuleeee [HASHTAG]#TeamBusKubwa[/HASHTAG]

Mod upo? dezaini km nakuona unavyohangaika kuedit edit teh teh. usiedit bhana...napenda kujisoma nilivyoandika:)

[HASHTAG]#JustSaying[/HASHTAG] [HASHTAG]#TeamMwananchiWaChini[/HASHTAG] [HASHTAG]#TeamLughaGongana[/HASHTAG]
 
A

Aisee nenda instagram huku si mahala pake
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom