Kaka' Brazilian & Real Madrid footballer, KAOKOKA (BORN AGAIN CHRISTIAN)

Kingdom_man

JF-Expert Member
May 19, 2010
405
456
kaka.jpg

Kaka ameamua kuweka wazi Imani yake ya Christ Jesus. Glory be to God
 
Nasikia FifA WALIBAN HAYO MANENO kw wanasoka.

Ni ushetani wao tu unawasumbua maana angeandika i love sexy wangecheka na kumshangilia lakini likitajwa jina mwanaume kupita wanaume wote Lord of Lords and King of Kings wanacharuka kweli kila kitu na utukufu wote ni kwake mwanaume Asiyeshindwa.
 
Kwa nini?

kama utakumbuka brazil ilipochukua Kombe la Dunia mwaka 2002 karibu nusu ya timu walikuwa walokole na walijiandika maandishi kamahayo ya Kaka,ndio wakapiga Ban,ila kama unaandika maandishi yasionekane,hata hii stlye ya wachezaji kuingia uwanjani na kuweka alama ya msalaba huwa ina waudhi wale wazee wa hisia ingawa naona siku hizi nao wanainama uwanjani.
 
kaka simuamini, kama angekuwa mlokole asingefanya tangazo la chupi za emporio armani akiwa nusu uchi. tangu siku ile nikatatizwa na ulokole wake. aaaaagh!
 
Ninabarikiwa sana ninapoona watu naarufu kama Kaka wakimkiri Yesu Kristo hadharani na mbele ya umati mkubwa kama wa mashabiki wa mpira. Glory be to God.
 
Ulokole wake kwenye pesa mbona unasimama? Sijui kimaadili ya kilokole yanasemaje kuhusu mavazi, kwani nakumbuka huyu jamaa alitangaza chupi flani hivi, na kuonekana hadharani amevaa chupi tu. Pia hata Robert Kelly alitangaza kuwa ni mlokole, ila baada ya mda mchache alionekana akitoa nyimbo na kufanya shooting na madada wakiwa na vichupi tu! Au mimi sijaelewa maana ya ulokole!
 
same thing nimesema kwa post ya juu, alikuwa anatangaza boxer za emporio armani nyeupe, ndio akatokelezea kwa kideo na boxer tu. tangu hapo nikaona ni ubatili mtupu na ricardo anajilisha upepo!
 
Ulokole haimanishi kwamba mtu ndio asifanye kazi, sasa yeye kuchukua deal ya kutangaza empirio armani products tatizo lipo wapi. Bibilia inasema Mungu anaijua mioyo yetu, He knows where our heart belongs. Besides Kaka alitangaza empirio armani products such as perfum, watch, suits na hajawahi piga picha za kama cristiano ronald, nadhani utakuwa unamchanganya.
images

huyu ni ronald sio KAKA!. . :lol: :focus:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom