Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,893
- 16,317
Msichana mrembo sana tena bado mdogo kweliPaula anajiharibia future.
Msichana mrembo sana tena bado mdogo kweliPaula anajiharibia future.
Mtu tokea yuko shule ya msingi anafanya ukonki mpaka leo hii...tena mbona sahvi ndiyo katuliaKajala anajidhalilisha sana, ni pisi kali ingeweza hata kuolewa, na Paula anajiharibia future.
Dah huwa namkubali sana, kama ni hivo ndio maana hajaliMtu tokea yuko shule ya msingi anafanya ukonki mpaka leo hii...tena mbona sahvi ndiyo katulia
Ova
Yah, kwenye tukio hili nimemdharau hasa rayvanny,amefanya umamaMsichana mrembo sana tena bado mdogo kweli
Mkuu, upuuzi ukiuita umama, akina mama wa humu JF watakuja kukusambulia. Mie simo mzee baba.yah, kwenye tukio hili nimemdharau hasa rayvanny,amefanya umama
hahaha ninatengua kauli😂, jamaa anasikitisha sanaMkuu, upuuzi ukiuita umama, akina mama wa humu JF watakuja kukusambulia. Mie simo mzee baba.
Simu hiziKajala na Paula wamezipata wapi hizo picha?
Ungemfanya Nini?By the way hakuna cha uzungu wala nini huyu mtoto angekuwa wangu ningemnyoosha tu mzazi haupaswi kumkatia Tamaa binti yako kuanzia kumsomesha Hadi kwenye tabia
Huyu vurugu alianza tokea akiwa shule ya msingi,wale wazee wenzangu enzi za Beach pareee watakuwa wanatambua hiloKajala ana miaka 36 paula 19 ina maana kajala alimzaa paula akiwa na miaka kama 18 hivi. Toa na miezi sita ya uchungu unapata 17
sasa kama mama mtu kaanza kufanya ufuska udogoni Why mtoto asiige?
Hivi mkuu hukumuonjapo kweli?Huyu vurugu alianza tokea akiwa shule ya msingi,wale wazee wenzangu enzi za Beach pareee watakuwa wanatambua hilo
Ova
Nashangaa mtoto anakushindaje ..either akubali masharti yangu au akane ukooBy the way hakuna cha uzungu wala nini huyu mtoto angekuwa wangu ningemnyoosha tu mzazi haupaswi kumkatia Tamaa binti yako kuanzia kumsomesha Hadi kwenye tabia
Laki tano bora nitafute ma bitch watano nalala nao wote. Kila mmoja na kazi yake.Kuzaa kweli si kazi,kazi kulea mwana,.hiyo laki 5 na kwa mpalange au...!?
Kweli kabisa but sio kila mwanamke aliyezaa ni mama.....Nashangaa mtoto anakushindaje ..either akubali masharti yangu au akane ukoo
Kuna shida mahali...sio bure mkuu..mienhad leo hii na uzee huu nikimisbehave lazima niwashiwe moto hom..tena baba usipokaa poa anakurushia kofi kbsKweli kabisa but sio kila mwanamke aliyezaa ni mama.....
kwa akili ya kajala anaweza hata akakubali kupigwa 3some na mwanae kile kichwa sidhani kama kina akili sawa sawa