Kajala, Paula wahojiwa polisi wakidaiwa kusambaza picha za Harmonize

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
9,742
2,000
Baada ya taharuki ya wiki nzima hii kutokana na Paula kajala ambaye ni mtoto wa kuzaliwa wa Majani (Producer wa zamani maarufu sana Tanzania), alizaa na Kalala massanja mtoto aliyeitwa PAULA.

huyu mtoto inasemekana amekuwa aki-dangiwa na mama yake mazi yaani Kajala.

Leo wakitokea Dubai kwenye starehe zao na mabwana zao ambao ahawapo pichani walikamatwa uwanja wa Ndege na kupelekwa kuhojiwa Plisi kwa masaa 4 na baadae kuachiwa kwa dhamana.

Huyu mtoto Paula inasemekana amebi---kyi riwa na Harmoniser na toka hapo amekuwa akigawa kama pipi japo haijadhibitishwa na yeye mwenyewe lakini kwa laki 5 unapata usiku mmoja kwake.

yale makampuni ya CRDB na TIGO ambayo hawa ni brand ambassador yajitafakari tena.

Sasa huyu mtoto anamuaibisha baba yake ., jamii na kabila kwa ujumla wake.
a.jpeg
b.jpeg
 

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
7,339
2,000
Kajala ana miaka 36 paula 19 ina maana kajala alimzaa paula akiwa na miaka kama 18 hivi. Toa na miezi sita ya uchungu unapata 17
sasa kama mama mtu kaanza kufanya ufuska udogoni Why mtoto asiige?
 

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
54,361
2,000
Kajala ana miaka 36 paula 19 ina maana kajala alimzaa paula akiwa na miaka kama 18 hivi. Toa na miezi sita ya uchungu unapata 17
sasa kama mama mtu kaanza kufanya ufuska udogoni Why mtoto asiige?
Huyu vurugu alianza tokea akiwa shule ya msingi,wale wazee wenzangu enzi za Beach pareee watakuwa wanatambua hilo

Ova
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom