Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,288
vipi diva ana hadhi ya kufanya reality show?
Diva ndio nani tena jamani
vipi diva ana hadhi ya kufanya reality show?
Diva wa cloudsDiva ndio nani tena jamani
Diva wa clouds
anafanya kazi wasafi?sku hizi wa wasafi yule si mafuriko
anafanya kazi wasafi?
ngoja niangalieacha masihara haufahamu? anakipindi usiku na anamsifia diamond balaa yuleyule aliekuwa anamtukana before kisa kampa na gari eti