kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 6,495
- 12,593
Nani mwingine maarufu ni mnywa dawa mkuu?Sina hakika, dawa wanakunywa wengi
Nani mwingine maarufu ni mnywa dawa mkuu?Sina hakika, dawa wanakunywa wengi
Ndio mkuu, ila hua nafunga na kufuli moja maana fundi alikosea kuweka kitasa...😎Hivi nawe huwa unafunga mkuu?
Ukiwajua itakusaidia nini?Nani mwingine maarufu ni mnywa dawa mkuu?
Wewe ulivyowajua imekusaidia nin?au nawe ni mnywa dawa?maana sio kwa mihasira hiyoUkiwajua itakusaidia nini?