MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,482
- 20,426
Mwanadada Kajala amesema Harmonize mafunzo ya ubatizo, huku wakijiandaa kuingia kwenye sakramenti ya ndoa. Pia amedai kuwa Harmonize amechagua jina la Gregory.
Ndoa njema.
Ndoa njema.
Kupatwa kwa mwanaMwanadada Kajala amesema Harmonize mafunzo ya ubatizo, huku wakijiandaa kuingia kwenye sakramenti ya ndoa. Pia amedai kuwa Harmonize amechagua jina la Gregory.
Ndoa njema.
Astaghifilillah!😂😂😂😂Mwanadada Kajala amesema Harmonize mafunzo ya ubatizo, huku wakijiandaa kuingia kwenye sakramenti ya ndoa. Pia amedai kuwa Harmonize amechagua jina la Gregory.
Ndoa njema.
Tutajie hao wakristo kibao maarufu wanaobadili dini kila sikuSio jambo la ajabu. Wakristu kibao tena watu maarufu sana wanabadili dini kila siku ili kuwapata wanawake wa kiislam mashombe wa kiarabu.
Mara nyingi mtu mkubwa anapobadili dini waamini wenzake husikitika lakini kule anakokwenda hufurahia kuwa wamepata muumini mpya
Unaishi china au bongo?Tutajie hao wakristo kibao maarufu wanaobadili dini kila siku
Mwanadada Kajala amesema Harmonize mafunzo ya ubatizo, huku wakijiandaa kuingia kwenye sakramenti ya ndoa. Pia amedai kuwa Harmonize amechagua jina la Gregory.
Ndoa njema.