mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,276
- 12,335
Ahly nao weupe tu,yani kaizer wenye red unawapiga sawa na Simba alivyowafunga wakiwa wote
Simba nae angetinga fainali angechapwa kichapo hicho hichoDakika 86'
Kaizer Chiefs 0 : 3 Al Ahly
Ahly nao weupe tu,yani kaizer wenye red unawapiga sawa na Simba alivyowafunga wakiwa wote
Sasa uto tunahusikaje hapoSiyapendi haya makaizer na jezi zao yaani. Kwanza yanapenda sana ushirikina kama ndugu zao uto
Si mliwashangilia sana hapa!! Pamoja na huyo senzo wenuSasa uto tunahusikaje hapo
Tukutane kigomaSi mliwashangilia sana hapa!! Pamoja na huyo senzo wenu
Hivi kuna timu Bongo wachawi kuwazidi Simba?Siyapendi haya makaizer na jezi zao yaani. Kwanza yanapenda sana ushirikina kama ndugu zao uto
Already provedAl Ahly wana uzoefu mkubwa wa Final za CAF champions league na kuchanganya na mpinzani anaukutana nae, hii itakuwa moja ya fainali nyepesi kuwahi kutokea
Luis wa wapi na ww?Kiatu kapewa nani maana luis nayeye alikua anaongoza
DuuuuKaiser anakula tatu swafi
Halafu mbona jamaa walipewa mjezi wa msimu uliopita au ndo zimejaa stooTatizo lilianzia hapa View attachment 1857626
Juzi tu uto wamepitia madirishani milango isiyohusika wamevunja vitasa makufuli au hujui? Tena siku chache tu hata wiki haijaisha toka watoke mkutano mkuu wa mabadiliko.Hivi kuna timu Bongo wachawi kuwazidi Simba?
Waarabu wamebebwa red card siyo sahihi kabisaMagoli yote ya ufundi
Kweli waliua mbuMwarabu anakaa leo. Kaizerchiefs wanaua