Kaizer Chiefs ametinga fainali ya CAF champions league, kiboko ya vigogo wenye mdomo

Hivi sisi utopolo tutacheza lini makundi CAF champions? Au mpaka Manji arudi kuikodisha utopolo yetu.
 
Simba hii fainali ilikuwa yetu kabisa, nina hakika ukiwauliza hao Kaizer haya wao hawaamini kama waliitoa Simba SC, ila final wataenda pasuliwa vibaya sana na muarabu wa Misri.

Game 2 na waydad umeziangalia.. simba mtoto mdogo sana kwa shughuli kaizer aliyoipata kwa waydad..

Simba jua la Dar liliwabeba. Ila mechi ya kwanza ... simba walikuwa wepesi sana.. kwa waydad kaizer kapiga shut moja tu on target mechi zote mbili na ndilo lililizaa goli... ila yeye kaizer kapigiwa mashut yanafika 50.. na ball possession mechi zote mbili kazidiwa mbali sana
 
Game 2 na waydad umeziangalia.. simba mtoto mdogo sana kwa shughuli kaizer aliyoipata kwa waydad..

Simba jua la dar liliwabeba. Ila mechi ya kwanza ... simba walikuwa wepesi sana.. kwa waydad kaizer kapiga shut moja tu on target mechi zote mbili na ndilo lililizaa goli... ila yeye kaizer kapigiwa mashut yanafika 50.. na ball possession mechi zote mbili kazidiwa mbali sana
Hamna timu hapo, Simba walizingua sana ile game SA.
 
Game 2 na waydad umeziangalia.. simba mtoto mdogo sana kwa shughuli kaizer aliyoipata kwa waydad..

Simba jua la dar liliwabeba. Ila mechi ya kwanza ... simba walikuwa wepesi sana.. kwa waydad kaizer kapiga shut moja tu on target mechi zote mbili na ndilo lililizaa goli... ila yeye kaizer kapigiwa mashut yanafika 50.. na ball possession mechi zote mbili kazidiwa mbali sana
Piga mashuti hata milioni, mi shuti moja tu goli tuone km utasonga mbele na hayo mashuti yako sasa
 
Simba hii fainali ilikuwa yetu kabisa, nina hakika ukiwauliza hao Kaizer haya wao hawaamini kama waliitoa Simba SC, ila final wataenda pasuliwa vibaya sana na muarabu wa Misri.
Mlimuombea mabaya kwa wydad lakini hao wamesonga mbele.
 
I see mikia wana midomo usipime. Huko mitaani nimeacha hata kubishana nao. Wengi ni wale wasiojua chochote kuhusu mpira. Kama goli lao leo na azam,la wizi wizi tu sio la kimpira
 
Kwa namna ratiba ilivyokuwa pia, ilikuwa msaada sana kwa Simba.

Sema game ya South ile ndo iliua timu. Vinginevyo bahati ilkuwa upande wa simba.
 
Kwa namna ratiba ilivyokuwa pia,ilikuwa msaada sana kwa Simba.

Sema game ya South ile ndo iliua timu. Vinginevyo bahati ilkuwa upande wa simba.

Simba jua kali na joto la dar linambeba sana.. pia corona imembeba sana... ila mipango simba hana ya kumzidi kaizer chiefs msimu huu.

Kaizer hana mpira wowote wa maana.. ila ana game plan za maana.. ame suprise timu nyingi sana mwaka huu.. hata simba hakutegemea zile 4
 
Kumbe watu wajinga bado wengi sana.
Imagine mtu unaongea na kiingereza ila akili bado huna!
Game 2 na waydad umeziangalia.. simba mtoto mdogo sana kwa shughuli kaizer aliyoipata kwa waydad..

Simba jua la dar liliwabeba. Ila mechi ya kwanza ... simba walikuwa wepesi sana.. kwa waydad kaizer kapiga shut moja tu on target mechi zote mbili na ndilo lililizaa goli... ila yeye kaizer kapigiwa mashut yanafika 50.. na ball possession mechi zote mbili kazidiwa mbali sana
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom