Simba hii fainali ilikuwa yetu kabisa, nina hakika ukiwauliza hao Kaizer haya wao hawaamini kama waliitoa Simba SC, ila final wataenda pasuliwa vibaya sana na muarabu wa Misri.
Tulieni na kombe lenu la mapinduziHivi sisi utopolo tutacheza lini makundi caf champions? Au mpaka Manji arudi kuikodisha utopolo yetu.
Kombe gani lile timu moja ilikuwa inacheza leo na kesho.Tulieni na kombe lenu la mapinduzi
Hamna timu hapo, Simba walizingua sana ile game SA.Game 2 na waydad umeziangalia.. simba mtoto mdogo sana kwa shughuli kaizer aliyoipata kwa waydad..
Simba jua la dar liliwabeba. Ila mechi ya kwanza ... simba walikuwa wepesi sana.. kwa waydad kaizer kapiga shut moja tu on target mechi zote mbili na ndilo lililizaa goli... ila yeye kaizer kapigiwa mashut yanafika 50.. na ball possession mechi zote mbili kazidiwa mbali sana
Kuwa serious kidogo, hata kufika robo fainal ilikuwa haitarajiwi.Simba hii fainali ilikuwa yetu kabisa, nina hakika ukiwauliza hao Kaizer haya wao hawaamini kama waliitoa Simba SC, ila final wataenda pasuliwa vibaya sana na muarabu wa Misri.
Kama vile utopolo alivyosahau 4G ya msimu uliopita na tayari amekimbilia kigoma kuifuata 4G nyingine.Basi Mbumbumbu fc wanatamani kama vile ndiyo wangekuwa Kaizer Chiefs! Wameshasahau tayari zile 4G walizopigwa kule South!!
Ilikuwa haitarajiwi na nani?Kuwa serious kidogo, hata kufika robo fainal ilikuwa haitarajiwi.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Robo fainali ilikuwa haitarajiwi na nani?Kuwa serious kidogo, hata kufika robo fainal ilikuwa haitarajiwi.
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
Piga mashuti hata milioni, mi shuti moja tu goli tuone km utasonga mbele na hayo mashuti yako sasaGame 2 na waydad umeziangalia.. simba mtoto mdogo sana kwa shughuli kaizer aliyoipata kwa waydad..
Simba jua la dar liliwabeba. Ila mechi ya kwanza ... simba walikuwa wepesi sana.. kwa waydad kaizer kapiga shut moja tu on target mechi zote mbili na ndilo lililizaa goli... ila yeye kaizer kapigiwa mashut yanafika 50.. na ball possession mechi zote mbili kazidiwa mbali sana
Mlimuombea mabaya kwa wydad lakini hao wamesonga mbele.Simba hii fainali ilikuwa yetu kabisa, nina hakika ukiwauliza hao Kaizer haya wao hawaamini kama waliitoa Simba SC, ila final wataenda pasuliwa vibaya sana na muarabu wa Misri.
Kwa namna ratiba ilivyokuwa pia,ilikuwa msaada sana kwa Simba.
Sema game ya South ile ndo iliua timu. Vinginevyo bahati ilkuwa upande wa simba.
Game 2 na waydad umeziangalia.. simba mtoto mdogo sana kwa shughuli kaizer aliyoipata kwa waydad..