Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,829
- 6,376
na mimi nasubiri hilo jibuUkipata jibu nitag mkuu maana calculation zangu zimegoma
na mimi nasubiri hilo jibuUkipata jibu nitag mkuu maana calculation zangu zimegoma
alrightSoma Biblia vizuri, ukishindwa jaribu kuongea na viongozi wako wa dini.
Changamoto ipo ktk usomaji wako, na pia kuna changamoto ya kimapokeo na lugha yetu adhimu kutokuwa na misamiati ya kutosha.
Adamu na Eva walikuwa kama reference point ya biblia, watu wengine wanaozungumziwa na Kaini hawakuwa ndugu zake.
Nitakujibu kwa kadri ya uwezo wangu na uelewa wangu , Ipo hivi shetani alipoangushwa kutoka mbinguni alishuka na nusu ya malaika na kutupwa Duniani,HOJA YA MSINGI
“Ikiwa Adamu na Hawa walikuwa na wana wawili, Kaini na Abeli, na baadae Seth, Je, mke wa Kaini alitoka wapi?”
Biblia ina habari za kutosha kujibu swali hilo kwa njia inayofaa, na kwenye hii mada tutajibu hili swali linalo wachanga sana watu.
MUKTASARI:
Katika Mwanzo sura ya 3 na ya 4 tunapata habari zifuatazo:
(1) Hawa alikuwa “mama ya kila mtu anayeishi.”
(2) Muda fulani ulipita kuanzia wakati Kaini alipozaliwa mpaka wakati alipotoa dhabihu ambayo ilikataliwa na Mungu.
(3) Baada ya kufukuzwa na kuwa “mwenye kutanga-tanga na mkimbizi,” Kaini alikuwa na wasiwasi kwamba huenda ‘mtu yeyote akakutana naye’ na kujaribu kumuua. [Angalia hoja hapa "Kaini anaogopa kuuwawa na watu wengine"] Hapa panaonyesha kuwa Kaini alikuwa na ndugu wengine.
(4) Mungu aliweka ishara ya kumlinda Kaini, jambo lililoonyesha kwamba ndugu au dada zake, au watu wengine wa ukoo wangejaribu kumuua. Kumbe basi Kaini alikuwa na ndugu wengine zaidi ya Abel na Seth.
(5) “Baadaye” Kaini alilala na mke wake “katika nchi ya Ukimbizi.”—Mwanzo 3:20; 4:3, 12, 14-17.
Naomba majibu tafadhari.
Upo sahihi mkuu, jibu zuriUstusumbue humu...Cain alikuwa ni mtoto wa shetani palee Hawa alipoliwa tunda la katikati ya Bustani je unapajua alipoliwa??...basi ndo alipoliwa hapo... tunda safi na tamu ........ hapo ikamea Mimba ya Cain ndo maana alikuwa Muuaji Bila kujali km Babaye!......
CAIN ALIWOWA WAPI... SI KWAO!!;
Mkuu wa Ulimwengu alikuwa tayari yumo humu ulimwenguni na watoto wake pia wengi tu walikuwepo, ambao hao hawakuwa wakiishi bustanini ....so cain alitoka Bustanini kuelekea Mashariki ya kaskazini, akawowa hao wana wa Mkuu wa ulimwengu ndo hao hao!! walio muua Yesu!
ndo hao hao! watakao sababisha vita ya Almagedon! NWO, Alama ya mnyama ndo hao hao! na hii 666, ndo hao hao waliotabiriwa na king James kuwa Tawala zenye nguvu Duniani zitatokea kaskazini, ndo hao hao!! walio jitokeza kwa ndoto ya Nabii Daniel nk!
kumbuka Nefilim walikuwepo kabla na baada ya gharika......mpaka leo hii wapo je unawajua??......nakupa home work!
Usikute saa hii ndo tupo enzi za ujinga..!!!Waandikaji waliandika enzi za ujinga ndio maana leo unasoma mstari kwenye Biblia mpaka unajikuta unacheka mwenyewe
Sio kweli...Usikute saa hii ndo tupo enzi za ujinga..!!!
Kipimo chako ni nini?Sio kweli...
Siku hizi nimekuwa mvivu kuandika... Kwa kifupi tuseme walikuwa sahihi ila sisi tukashindwa kutafsiri lugha yao kwa usahihiKipimo chako ni nini?
Hapa linaibuka swali jingine tena kuhusu Land of nodPili Kain alienda mbali alikooa huko huko