Kaimu Mwenyekiti wa Taifa, ACT Wazalendo: Rais Magufuli kukoma Urais 2020

wanaojulikana

JF-Expert Member
Sep 14, 2017
576
901
2020 MAGUFULI KUKOMA URAIS

"Rais Magufuli ni bingwa wa kuvuruga. Amevuruga demokrasia. Amevuruga haki za watu. Na sasa anavuruga kwa kasi uchumi wa nchi. Tunatuma salamu kwake. Mwaka 2020 will be certainly the end of Magufuli's presidency. Mwaka 2020 ndio mwisho wa Magufuli kuwa Rais wa Tanzania. Watanzania sio wajinga kiasi hicho. Watanzania wa sasa tuna akili, tumesoma na tuna uelewa. Hatutamuacha Ikulu mtu anayevuruga nchi"
......

Yeremia Kulwa Maganja,
Kaimu Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo.
Kijiji cha Makande,
Kata ya Lukumbule,
Wilaya ya Tunduru.
Tarehe 10 Novemba 2017.
 
Great Vision, nasema ni vision yake, Mimi kucha zangu nazipenda
 
Tume ingekuwa inateuliwa na Zitto hapo ingewezekana ila kwa hili Mkuu wa majeshi Igp Tiss wakuu wa mikoa wakurungezi wakuu wa wilaya wote lao moja mbona hakuna wa kumzuia kuzuia kuendelea mpaka 2025 Mungu akimjalia uzima na afya tele halafu Zitto hujatupa mbadala wa JPM
 
Kuna memba wa JF aliwahi ku comment kwamba Zitto

ndio mwanasiasa pekee anayeweza kuswing anaweza

akaibua hoja ya kuiponda ccm akapata sapoti ya Chadema

pia anaweza kuibua hoja ya kwenda sambamba na ccm

akapata sapoti ya ccm.Hakuna mwanasiasa mwingine

anayeweza hii kitu....
 
Napenda kumwambia Mh zitto Kabwe.sisi watanzania ndio tunaochagua viongozi sio wao wanasiasa. Kwa nini tuna mlaumu Mh Rais na ndio ana miaka miwili. Tumpe ushiriakiano ili aweze kuleta mabadiliko chanya nchini
 
Hua nashindwa kuwaelewa mnaposema tumpe Raisi ushirikiano. Raisi ambaye hataki kusikiliza ushauri hataki kukosolewa, anachokiamua yeye ndo anaona sahihi ukimshauri anakuona adui. sasa tumpe ushirikiano gani?
 
2020 MAGUFULI KUKOMA URAIS

"Rais Magufuli ni bingwa wa kuvuruga. Amevuruga demokrasia. Amevuruga haki za watu. Na sasa anavuruga kwa kasi uchumi wa nchi. Tunatuma salamu kwake. Mwaka 2020 will be certainly the end of Magufuli's presidency. Mwaka 2020 ndio mwisho wa Magufuli kuwa Rais wa Tanzania. Watanzania sio wajinga kiasi hicho. Watanzania wa sasa tuna akili, tumesoma na tuna uelewa. Hatutamuacha Ikulu mtu anayevuruga nchi"
......

Yeremia Kulwa Maganja,
Kaimu Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo.
Kijiji cha Makande,
Kata ya Lukumbule,
Wilaya ya Tunduru.
Tarehe 10 Novemba 2017.
Umekuwa msemaji wa Watanzania?
Nahisi ww ndio mjinga na sio muelewa, kwanza muongo sio kweli Watanzania wote ni wasomi, wapo Watanzania wasio soma na wala hawajui hata kusoma na kuandika, tena hasa kwa nyie watani zangu akina ACHIMWENE
usiwe msemaji wa Watanzania, jisemee binafsi yako
 
Tume ingekuwa inateuliwa na Zitto hapo ingewezekana ila kwa hili Mkuu wa majeshi Igp Tiss wakuu wa mikoa wakurungezi wakuu wa wilaya wote lao moja mbona hakuna wa kumzuia kuzuia kuendelea mpaka 2025 Mungu akimjalia uzima na afya tele halafu Zitto hujatupa mbadala wa JPM

Hawa ndio wamemchoka zaidi kuliko sie, we unafikiri ulinzi alionao ni dhidi ya raia ambao unaweza wamiminia risasi n usikamatwe?
 
Hayo ni maoni yako , siyo ya wanachi tume muda tuendelee na tasthimu ya uongozi wa JPM then uje 2020 tunaweza kukupa msimamo wetu
 
Back
Top Bottom