Kaimu mkuu wa Shule ya Sekondari Bilele ni jipu

Kwanza ningependa kupongeza serikali hii ya awamu ya tano kwa kasi nzuri tangu kuapishwa kwa raisi mpaka Baraza la mawaziri, Hongera sana.
Ningependa kueleza machache kuhusu kaimu mkuu wa shule ya sekondari Bilele katika Manispaa ya Bukoba kwamba ni jipu na tumsaidie rais kutumbua ili sera ya Elimu bure itekelezeke vizuri.

Ufuatao ni uozo wa mkuu huyu:
1.Hana sifa ya kuwepo madarakani

2.Amefuja pesa nyingi sana ya capitation toka akaimu ofisi mwaka 2014,kwa mfano pesa ya viti na meza ambazo wanafunzi walikuwa wakichanga. Hata uchunguzi ukija kufanyika kwa kuwauliza watoto wa kidato cha NNE, tatu na pili kama waliowahi kupata meza na viti vipya, jibu litapatikana. Anachofanya ni kuchukua pesa na kurekebisha meza na viti vya kidato cha NNE wanaomaliza . Pia kuna cheki za uongo zinaandikwa na zinakuwa na matumizi hewa kama katika idara ya MICHEZO.KULIKUWA na matumizi hewa mengi ya hela ya serikali. Njooni mchunguze matumizi mengi yalikuwa hewa.

3.Amekuwa akijiamulia mambo mengi na kupuuzia maoni ya Walimu na pia SMT

4.Amekuwa akilipiza visasi kwa Walimu wanaoonekana hawako tayari kunyanyaswa na hutumia panga Lake katika mapendekezo ya shughuli maalumu kama kusahihisha mitihani, semina na kusimamia mitihani kama mnavyojua hizo ndio posho za Walimu.

5.Amekuwa na chuki za waziwazi kwa Walimu na hivyo kuwafanya Walimu kuchukia ofisi na hivyo morali ya Walimu kufanya kazi inapungua na kuathiri ufaulu. Huu ni ukweli serikali njoo mchunguze hili mtapata jibu.

6.Amekuwa anasumbua katika malipo kwa Walimu wa part time kwa masomo ya sayansi, hata baadhi ya semina ambazo watapaswa kulipwa na shule huwa ni shiii

Naandika haya si kwa chuki bali ni uvumilivu kufika kikomo

Naomba wadau tufikishe hili kwa serikali walifsnyie kazi ili tuendane na kasi ya Elimu bure.

Nyongeza :
Mkuu huyu ndio yule ambaye amevuliwa madaraka na kutangazwa kwenye vyombo vya habari hivi Karibuni

Bilele sekondari Manispaa ya Bukoba inahitaji mkuu mpya serikali tusaidieni
 
Kwanza ningependa kupongeza serikali hii ya awamu ya tano kwa kasi nzuri tangu kuapishwa kwa rais mpaka Baraza la mawaziri, Hongera sana.

Ningependa kueleza machache kuhusu kaimu mkuu wa shule ya sekondari Bilele katika Manispaa ya Bukoba kwamba ni jipu na tumsaidie rais kutumbua ili sera ya Elimu bure itekelezeke vizuri.

Ufuatao ni uozo wa mkuu huyu:
1.Hana sifa ya kuwepo madarakani

2.Amefuja pesa nyingi sana ya capitation toka akaimu ofisi mwaka 2014,kwa mfano pesa ya viti na meza ambazo wanafunzi walikuwa wakichanga. Hata uchunguzi ukija kufanyika kwa kuwauliza watoto wa kidato cha NNE, tatu na pili kama waliowahi kupata meza na viti vipya, jibu litapatikana. Anachofanya ni kuchukua pesa na kurekebisha meza na viti vya kidato cha NNE wanaomaliza . Pia kuna cheki za uongo zinaandikwa na zinakuwa na matumizi hewa kama katika idara ya MICHEZO.KULIKUWA na matumizi hewa mengi ya hela ya serikali. Njooni mchunguze matumizi mengi yalikuwa hewa.

3.Amekuwa akijiamulia mambo mengi na kupuuzia maoni ya Walimu na pia SMT

4.Amekuwa akilipiza visasi kwa Walimu wanaoonekana hawako tayari kunyanyaswa na hutumia panga Lake katika mapendekezo ya shughuli maalumu kama kusahihisha mitihani, semina na kusimamia mitihani kama mnavyojua hizo ndio posho za Walimu.

5.Amekuwa na chuki za waziwazi kwa Walimu na hivyo kuwafanya Walimu kuchukia ofisi na hivyo morali ya Walimu kufanya kazi inapungua na kuathiri ufaulu. Huu ni ukweli serikali njoo mchunguze hili mtapata jibu.

6.Amekuwa anasumbua katika malipo kwa Walimu wa part time kwa masomo ya sayansi, hata baadhi ya semina ambazo watapaswa kulipwa na shule huwa ni shiiida
7.Watoto wamekuwa wakirundikana sana madarasani na ubaya zaidi meza na viti hakuna na michango ililipwa

8.Amekuwa akikusanya mkononi michango Kw wanafunzi walio maliza wanapokuja kuchukua vyeti vyao, yaani pesa ilikuwa haingii bank

Naandika haya si kwa chuki bali ni uvumilivu kufika kikomo

Naomba wadau tufikishe hili kwa serikali walifsnyie kazi ili tuendane na kasi ya Elimu bure.

Nyongeza :
Mkuu huyu ndio yule ambaye amevuliwa madaraka na kutangazwa kwenye vyombo vya habari hivi Karibuni

Bilele sekondari Manispaa ya Bukoba inahitaji mkuu mpya serikali tusaidieni
 
Last edited by a moderator:
Kwanza ningependa kupongeza serikali hii ya awamu ya tano kwa kasi nzuri tangu kuapishwa kwa raisi mpaka Baraza la mawaziri, Hongera sana. Ningependa kueleza machache kuhusu kaimu mkuu wa shule ya sekondari Bilele katika Manispaa ya Bukoba kwamba ni jipu na tumsaidie rais kutumbua ili sera ya Elimu bure itekelezeke vizuri.

Ufuatao ni uozo wa mkuu huyu:

1. Hana sifa ya kuwepo madarakani

2. Amefuja pesa nyingi sana ya capitationtoka akaimu ofisi mwaka 2014, kwa mfano pesa ya viti na meza ambazo wanafunzi walikuwa wakichanga. Hata uchunguzi ukija kufanyika kwa kuwauliza watoto wa kidato cha NNE, tatu na pili kama waliowahi kupata meza na viti vipya, jibu litapatikana.

Anachofanya ni kuchukua pesa na kurekebisha meza na viti vya kidato cha NNE wanaomaliza. Pia kuna cheki za uongo zinaandikwa na zinakuwana matumizi hewa kama katika idara ya MICHEZO KULIKUWA na matumizi hewa mengi ya hela ya serikali.

Njoo nimchunguze matumizi mengi yalikuwa hewa.

3. Amekuwa akijiamulia mambo mengi na kupuuzia maoni ya Walimu na pia SMT4. Amekuwa akilipiza visasi kwa Walimu wanaoonekana hawako tayari kunyanyaswa na hutumia panga Lake katika mapendekezo ya shughuli maalumu kama kusahihisha mitihani, semina na kusimamia mitihani kama mnavyojua hizo ndio posho za Walimu.

5. Amekuwa na chuki za waziwazi kwa Walimu na hivyo kuwafanya Walimu kuchukia ofisi na hivyo morali ya Walimu kufanya kazi inapungua na kuathiri ufaulu. Huu ni ukweli serikali njoo mchunguze hili mtapata jibu.

6. Amekuwa anasumbua katika malipo kwa Walimu wa part time kwa masomo yasayansi, hata baadhi ya semina ambazo watapaswa kulipwa na shule huwa ni shiiida

7. Watoto wamekuwa wakirundikana sana madarasani na ubaya zaidi meza na viti hakuna na michango ililipwa

8. Amekuwa akikusanya mkononi michango kwa wanafunzi waliomaliza wanapokuja kuchukua vyeti vyao, yaani pesa ilikuwa haingii bank.

Naandika haya si kwa chuki bali ni uvumilivu kufika kikomo. Naomba wadau tufikishe hili kwa serikali walifsnyie kazi ili tuendane na kasi ya Elimu bure.

Nyongeza: Mkuu huyu ndio yule ambaye amevuliwa madaraka na kutangazwa kwenye vyombo vya habari hivi Karibuni.

Bilele sekondari Manispaa ya Bukoba inahitaji mkuu mpya, serikali tusaidieni..
 
Yuko kama mkuu flani hivi wa huku kwetu yawezekana ni ndugu,ipo siku namuanika mitandaoni nipeni muda.
 
dah mimi nilisoma tumaini p/m miaka hiyo wakati bilele na zamzam zikiwa ndo shule za msingi zenye ushindani wa hali ya juu,hivi zilishabadilishwa kuwa sekondari!
 
Back
Top Bottom