Kaimu Mkurugenzi wilaya ya Urambo bwana Gwatako naye aligushi cheti

Kama ni ccm huyo, ujue wamemuhisi,anaimani na Lowasa ! Hakuna ccm mwenye kukumbwa na mkosi wa vyeti feki,lazima hapo kuwe na kasoro,na sio ndogo ! Vinginevyo,atajitokeza hadharani kama nape na kuweweseka sana.kama alisaidia kuiba kura za upinzani,basi ni laana inamtafuna.manape na magoli yao ya viwiko vyeti feki havita waacha.wananchi wamemlilia sana Mungu kwa habari ya wizi wa kura za Lowasa,lazima Mungu atufute machozi yetu!.
Mkuu mbona baba jesca alisema eti alikesha kuchambua cv za wateule ina maana fafa la mteule hakuliona au alikuwa anatafuta kick kwenye front page
 
Back
Top Bottom