Kaimu CEO Yanga: Tumepata somo la kutosha kwenye mechi na Rivers Utd sasa Simba Sc wajiandae jumamosi

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
20,713
45,090
Akiongea na kituo cha radio cha Efm kupitia kipindi cha michezo cha asubuhi, Kaimu Mtendaji Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa amekiri kuwa hawakujipanga vizuri kwenye pre season hivyo kupelekea timu yao kutolewa na Rivers United katika hatua ya awali ya Caf Champions League!!

Haji Mfikirwa akaongeza kuwa
" Tumepata somo zuri katika mechi hizi mbili za Rivers na sasa tunaenda kumfunga Simba jumamosi kwenye mechi ya ngao ya jamii".

Una maoni gani kuhusiana na kauli ya kaimu ceo wa Yanga??
 
huyu jamaa hakustahili kuwa upotolo kwani anaongea ukweli tofauti na upotolo wengine kama kina Kitenge.
Huyu ndio alisema yanga inapaswa kujifunza kutoka Simba kuhakikisha timu za kigeni hazipati ushindi taifa.
 
Future imposible tense! yani Yanga ndo wakusema hivyo au huyu sio mtu wa Yanga ni pandikizi tu maana najua mashabiki wote wa Utowamekiri toka jana kwamba mnyama wa msimu unaokaribia kuanza ni hatari
Unajitenya na kucheka mwenyewe.Jumamosi siyo mbali ,Tambo na Majigambo ndiyo mwisho wake.Baada ya mchezo hatutaki sababu za kijingajinga.Nyama pori inaliwa Supu bila huruma
 
Unajitenya na kucheka mwenyewe.Jumamosi siyo mbali ,Tambo na Majigambo ndiyo mwisho wake.Baada ya mchezo hatutaki sababu za kijingajinga.Nyama pori inaliwa Supu bila huruma
Sio mbali kweli! sema mbona toka kitambo wanaojulikana kwa lawama tunawajua au mwenzetu umesahau kamati letu la lawama kwa TFF🐸🐸🙄

Nyama pori zinalika kweli sema hamna Simba utamla wewe. Manyani🦍🦍, nyati,nyumbu yanalika huko msituni ila sio Simba🦁
 
Back
Top Bottom