Kailima Ramadhan: Uchaguzi 2015 ulikuwa huru na wa haki, CHADEMA imeshindwa kihalali! Hakuna upendeleo kwa CCM, NEC ni Tume huru

Kailima Ramadhani ndie aliyekuwa na kazi ya kuhakiki doctored results kutoka Kituo Cha Masaki kilichokua chini ya Kina Januari na Kumpa Jaji Lubuva

Kazi ya Jaji ilikua moja ; Kusoma tu .
Ikimbukwe Kailima aliingizwa Pale tume wiki mbili kabla ya Uchaguzi akiwa na timu yake akiwamo mtaalamu wa IT Ndugu Kapilimba
 
Leo ni mtuhumiwa wa michezo ileile ya Doctoring na anaitwa kuhojiwa na Takohuru.
Ila Takohuru halipo huru kama tunavyoaminishwa, yaani wao ni mpaka rais atuhumu ndiyo wanafanya uchunguzi, alilalamikiwa Mnyeti tena na ushahidi ulikuwepo lakini ngoma ikapitishwa wima tu.
 
Nadhani Kailima alikua anajiamini Sana kwakua anajua alimsaidia kushindwa
Atakua Haamini macho yake
Na jamaaa alisema “ Huyu ; Alihusika Sana

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Chadema wameambiwa na kuombwa mara nyingi watoe matokeo yao ya kila kituo lakini mpaka karne ijayo hawataweza! Unawezaje kudai fulani kaiba kura wakati huna matokeo yanayounga mkono kauli yako? Wangeweka zile fomu za kila kituo za mawakala wao ili tujue ukweli vinginevyo hizi ni hisia tu
 
Tume ya Uchaguzi ndio hii hii imeendesha uchaguzi wa 2015 mgombea wa upinzani ukapata kura zaidi ya milioni 6, ambazo ni nyingi kuliko zilizonuingiza Kikwete madarakani ile 2010!.
Imeingiza wabunge zaidi ya 115 wa upinzani Bungeni kupitia uchaguzi Mkuu huru na wa haki, hivyo uchaguzi wa 2020 utasimamiwa na Tume hii hii na pia utakuwa ni uchaguzi huru na wa haki, the only difference kwa uchaguzi huu ni Watanzania wamemkubali sana rais Magufuli kwa utendaji wake na makubwa aliyoyatenda hivyo sasa watamchagua Magufuli tuu na kuichagua CCM pekee!.
NCHI YETU HATUJAWAHI KUFANYA UCHAGUZI BILA TUME HURU YA UCHAGUZI.
Mkuu Mhe. Mwigulu Nchemba, asante sana kulizungumzia hili la Tume huru ya uchaguzi.

Tupo pia tuliolizungumza sana lakini Watanzania wanahitaji kuelimishwa kikamilifu kuhusu hili ili lieleweke vizuri, na hata Watanzania wenyewe kwa ridhaa zao na kwa ujumla wao, kwenye uchaguzi wa October, waki amua kuichagua CCM tuu and only CCM katika uchaguzi Mkuu huru na wa haki na bila waangalizi wowote kutoka nje, hivyo CCM ndio pekee ikachaguliwa naomba tuu watuelewe.

Hili la Tume huru tumelijadili sana humu

Pascal Mayalla: NEC ni Tume huru ya uchaguzi kama lilivyo bunge na mahakama kwa sababu vyote hivi msingi wake ni Rais

TV Prog. Alert: Tume ya Uchaguzi, NEC, Yajibu Hoja za JF Kuhusu Uchaguzi Huru na Wa Haki!

Kailima Ramadhan: Uchaguzi 2015 ulikuwa huru na wa haki, CHADEMA imeshindwa kihalali! Hakuna upendeleo kwa CCM, NEC ni Tume huru

Japo umegharimiwa kwa machozi, jasho na damu, ulikuwa huru na wa haki!. Hongera CCM, CHADEMA poleni!. Mungu saidia Tz

TV Program Alert: Msidanywe na Wanasiasa Kuhusu Uchaguzi Mkuu: Ulikuwa Huru na wa Haki!. Shuhudia!

Ila naomba siku ukipata muda au nafasi, urejee kwenye bandiko lako hili,
Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020
Kuna swali hujalijibu ila pia you are free kutoyajibu depending on how busy you are.
P
 
Watu wanatokea mbali sana!.jpg
 
Wanabodi,

Its high time vyama tuanze kutake responsibilities kwa matokeo ya utendaji wa vyama vyetu kwenye chaguzi, kwa pale ambapo uchaguzi ulikuwa huru na wa haki, tukubali kushindwa kihalali, asiyekubali kushindwa sio mshindani, badala ya kutafuta visingizio.

Kama hali ya uwezo wa ushindani kwa vyama vyetu vya upinzani nchini Tanzania, jee hali itakuwaje uchaguzi wa 2020?. Kama wapinzani hawatabadili strategies, za namna ya kushindana na CCM kwenye sanduku la kura, kuna hatari ya CCM, kuyarejesha majimbo yote ya upinzani mwaka 2020, hivyo Tanzania kuanza safari ya kuelekea kuwa ni nchi ya vyama vingi jina tuu, lakini ukweli tunaelekea kuwa nchi ya chama kimoja.

NB. Kipindi kikiwa tayari, nitakipandisha humu umsikilize mwenyewe.

Wasalaam.

Paskali
Huu ndio wakati wa hoja hizi kutimia.
P
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom