Kaika Telele ameleta USONGOMBWINGO Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kaika Telele ameleta USONGOMBWINGO Bungeni

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bajabiri, Aug 23, 2011.

 1. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mzee Msekwa amenifurahisha sana maana ametumia neno la zaman sana,,,,,,,,SONGOMBWINGO,hilo neno amelitamka wakat akijibu hoja za mwanamagamba ,mwenzie aliyemtuhumu kuwa anagawa maeneo ya ngorongoro kwa wajenga hotel,&lt;br /&gt;<br />
  SIHASA BWANA,NI ZAID YA SIASA
   
 2. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Amesemaje sasa?mbona kama vidokezo vya magazeti!
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  kauli hii ameitoa msekwa,,,,,yeye ndie aliyesema kuwa tuhuma za telele ni SONGOMBWINGO zilizoletwa bungeni
   
Loading...