Kama Paris vile 😃😃,ni Sumbawanga hapo mkuuKuna mji kwenye picha una miti ya Jacarandah... Thanks to who brought Jacarandah in Tanzania, they are so nice and attrctive trees to look at
Very nice mkuu,kama uko Mbeya tuletee na picha za lile jengo pale kabwe na mitaa ya maghorofani kuna majengo mengi pale yameota.
Popote ilipo Mungu aitetee hiyo miti ni kivutio tosha katika msimu huu wa mauaKama Paris vile 😃😃,ni Sumbawanga hapo mkuu
Kuna mji kwenye picha una miti ya Jacarandah... Thanks to who brought Jacarandah in Tanzania, they are so nice and attrctive trees to look at
Wewe na mimi tunaweza kuanzisha kijiji chetu tukastaajabisha taifa
Yes lazima njia ya kwenda kwangu iwe hiviWewe na mimi tunaweza kuanzisha kijiji chetu tukastaajabisha taifa
Huyu mama kaamua kujenga ghorofa lake refu Kama nyumba ya kuishi kibeta mjini bukoba.