Kahama VS Njombe/Mafinga

Yaan sipo hapa kubishana ujinga mkuu...! tutakutana kileleni..endeleeni kununua fitofu na mm nahangaika na dhahabu zangu
unasema ujinga sahiz baada ya kukosa point za msingi, kwanini hukusema kama ni ujinga toka mwanzo wa post yako. Mwanzo tumeanza vzr tu, kwanini umeona kuwa ujinga kwa sasa. Harafu km ungeona ni ujinga wala usingechangia chochote toka mwanzo. Ungepita kimyakimya tu
 
Hahahaa...unadhan mie nPendaga battle sasa??? mie huko nimezaliwa nakuishi hunidanganyi kitu! hebu niache mkuu...! sio level yako mie!bishaneni tuone mshindi nadhan nahela mtapewa!💎💎💎
 
Inapita Njombe(Stop Lupembe), inaenda Lupembe, inashukia karibu na Chitta huko (Moro), then Mlimba - Kihansi, Mbingu - Mngeta, Ifakara - Kidatu, Mikumi. Kipande kisumbufu Ni Ifakara - Lupembe.
Asanteni kwa maelezo haya nilikuwa naumiza akili kwamba napitaje kutoka Ifakara mpaka Lupembe, nimepata majibu
 
Njombe iliyoongelewa na hawa ndezi wa kibena utafikir sehemu ya maana, kumbe ni kamji ka kishamba. Ukienda bar mabaamed wamevaa makoti na kujifunika vilemba hadi kwenye nyusi. Mafinga ni sehemu ya kijanjazaid kuliko hako kamji ka watunza misukule
 
Wahehe na Wabena tunapatana sana mkuu, vipi kutushambulia Wabena kihivyo
 
Njombe iliyoongelewa na hawa ndezi wa kibena utafikir sehemu ya maana, kumbe ni kamji ka kishamba. Ukienda bar mabaamed wamevaa makoti na kujifunika vilemba hadi kwenye nyusi. Mafinga ni sehemu ya kijanjazaid kuliko hako kamji ka watunza misukule
Mkuu sie tunaongelea maendeleo ukitaka kutiana nenda kahaba=Kahama na kanda ya ziwa at large si ajabu mnanuka umaskini maana akili yenu imeishia kutiana tuu
Pili Njombe kamwe huwezi ilinganisha na Mafinga town maana sisi ni makao makuu ya mkoa na uwekezaji unaofanywa saizi ni mkubwa na uko speed sana
Soon Njombe makete Mbeya/isyonje road itakamilika,Njombe/itoni ludewa Manda mbamba bay road itakamilika,Njombe/kubeba madeke Lupembe to Ifakara road itakamilika kabla ya 2025 na barabara zote wakandarasi wako site kazi zinaendelea unategemea Njombe utailinganisha na hivyo vimiji vya msimu wa mavuno?
 
kwa picha hizo za njombe,bado cha mtoto wa kahama,labda ulinganishe na simiyu
Mkuu Njombe ni fire kwa kasi ya maendeleo,wiki hii nimetoka Njombe kwa kweli maendeleo yanakimbia hasa pale mjini kati na songea road,zamani ile airport ilikuwa nje ya mji leo hii iko ndani ya makazi ya watu na jirani na stendi kuu
Nilihesabu majengo ya ghorofa kuanzia kibena hadi stendi kuu mpya ni zaidi ya 30 floor moja kwenda juu
Wakati narudi nimepita barabara ya makete wakandarasi wako site tena barabara ni pana kama ya Tanzam na inajengwa kwa asphalt concrete miaka 2 ijayo itatoboa Mbeya km 230
Kama hiyo haitoshi Njombe ludewa na Njombe Ifakara roads zote zinajengwa hivi sasa yaani mkoa utafunguka kwa fursa na uhakika wa kuyafikia masoko kwa mazao yetu makuu ya miti/mbao,viazi na matunda
 
Ehehe

Back
Top Bottom