Kahama VS Njombe/Mafinga

Mtu mfupi kwanini Njombe mji imezidiwa na Kahama mji sasa?
.
Nilikwambia sehemu yenye dhahabu sio sawa na sehemu yenye mavichaka mamiti miti kama Njombe
Wewe manamba kumzidi mtu kimo sio kumzidi akili
Pili gawanya hicho mlichozalisha kwa idadi yenu afu jibu lake ndio sababu kwa nini nyie ni maskini kuliko Njombe
Unadhani kama mna pesa kwa Nini investors hawajengi hoteli za maana huko Kahama instead wanajenga Njombe? Jibu ni kwamba you are poor no money
 
Huhuhuhu we mtu mfupi battle ya hotel si ilikushinda kuleta picha? Yani short una matatizo sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ unabaguliwa mnooo
 
manengelo mwaka 2014 semi trailer ya mbao ilikua kuijaza ni milioni 26 au 27 leo hii tunapoongea semi kama inazidi 20 milioni itakua bahati, mbao imeporomoka bei kuliko kawaida, unapozungumzia vitu kama dhahabu ambayo inapanda bei kila siku unatakiwa uelewe kua biashara hii watu wanapiga pesa kupita maeleze anzia mchimbaji, makota, na masonara
 
Njombe interms of business haiwezi kuigusa kahama, hata kwa mbali, kahama tunaiita border hiyo ambayo dollar inatumika na kuzungushwa kama kawaida usiku na mchama
 
Nahisi humu tumetofautiana yawezekana tunajadili mambo ya biashara na manesi, walimu au watumishi wa serikali ambao kimsingi biashara hawaifahamu, ndio sababu watu wanalipuka bila kufahamu basis za kibiashara ni zipi kati ya hayo maeneo
 
Access ya biashara kati ya kahama na DRC, Rwanda, Burundi, Uganda, South Sudan ni kubwa sana na kote huko unafika kirahisi bado ulinganishe na watu wanaohisi soko kubwa ni Dar ambapo mkienda mnaangukia mikononi mwa madalari ambao wanawafilisi mitaji mnarudi home mkiwa na presha za kupanda na kushuka
 
Huhuhuhu we mtu mfupi battle ya hotel si ilikushinda kuleta picha? Yani short una matatizo sana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ unabaguliwa mnooo
Kahama nzima kuna hoteli moja ya ghorofa 3 the rest zilikuwa guest house,ujenge hoteli alale nani watu wote mko kuchunga ng'ombe
Una jeuri ya kumbagua mwenye pesa wewe,mlete dada yako nione kama atanibagua ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
manengelo mwaka 2014 semi trailer ya mbao ilikua kuijaza ni milioni 26 au 27 leo hii tunapoongea semi kama inazidi 20 milioni itakua bahati, mbao imeporomoka bei kuliko kawaida, unapozungumzia vitu kama dhahabu ambayo inapanda bei kila siku unatakiwa uelewe kua biashara hii watu wanapiga pesa kupita maeleze anzia mchimbaji, makota, na masonara
Hizo dhahabu zingekuwepo ungekuta Kahama ni johz sasa huko ni makinikia kwenda mbele ndio maana hamuishi umaskini ๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›
 
Access ya biashara kati ya kahama na DRC, Rwanda, Burundi, Uganda, South Sudan ni kubwa sana na kote huko unafika kirahisi bado ulinganishe na watu wanaohisi soko kubwa ni Dar ambapo mkienda mnaangukia mikononi mwa madalari ambao wanawafilisi mitaji mnarudi home mkiwa na presha za kupanda na kushuka
Ingekuwa hivyo tungekuwa tunakabana koo kwa umaskini kama nyie unfortunately tunashindana na Kilimanjaro na dar nyie wazee wa makinikia mtaisoma sana namba
Mazao yetu tunauza across the country tena tunaproduce wenyewe sio nyie mnaotegemea uchuuzi ujue Kahama ni gulio watu wanachuuza na kusepa
 
Njombe interms of business haiwezi kuigusa kahama, hata kwa mbali, kahama tunaiita border hiyo ambayo dollar inatumika na kuzungushwa kama kawaida usiku na mchama
Hizo dola mbona hazibadili maisha yenu au ni dola ya Zimbabwe? ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Kahama ikiwa border Tunduma tutaiitaje?
 
Hahaha! Eti nimeishi miaka mitatu alafu unabwabwaja sisi wazawa tusemeje?
.
Mwanza-Shinyanga ni KM 141 na si chache ni nyingi mnooo ni masaa mawili hadi matatu kwa gari.
Njombe ni porini kumejificha watu ni washamba, Kahama wajanja wengi alafu sio wasukuma tu wametoka maeneo mbalimbali ya nchi na jirani
161
 
33 Reactions
Reply
Back
Top Bottom