ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 42,892
- 49,564
- Thread starter
- #521
Tuko msibani watu wameingia huko moro nikirudi kwenye maombolezo nakujaTunazungumzia shule na sio mkoa Kahama iko ndani ya mkoa wa Shinyanga.
.
Weka shule inayofanya vizuri kutoka Njombe mji nami naweka Shule inayofanya vizuri Kahama mji kisha tuone nani ni mzima kichwani kama ulivyouliza
Unamaanisha tufanye vizuri kitaifa afu tukose shule?