KAHAMA: Viongozi 22 wa CHADEMA wafikishwa mahakamani

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Viongozi 22 wa CHADEMA wameshtakiwa katika mahakama ya Wilaya Kahama kwa kosa la mkusanyiko kinyume na sheria.

Jana Jeshi la Polisi lilipiga marufuku mkutano wa CHADEMA uliokuwa ufanyike Kahama.

Viongozi haoni Lembeli, Godbless Lema, Mwenyekiti wa BAVICHA Patriobas Katambi

Kahama1.jpg

kahama 2.jpg
 
CHADEMA maandamano na mikutano ya vurugu haijawahi fanyika kilimanjaro toka CHADEMA ianzishwe hufanyika mikoa mingine sio kilimanjaro kwa nini?
 
View attachment 354733

View attachment 354734
opposition camp wasilichukulie hili kuwa ni tatizo bali fursa yao pekee ya kuonyesha upinzani wa kweli ambao tumekuwa tukiulilia miaka yote. I hope you guys don't fail us.

I mean..... mtu huwezi kupewa dhamana ya kuongoza nchi kirahisi rahisi kabla ya kupitia tanuru.
 
CHADEMA maandamano na mikutano ya vurugu haijawahi fanyika kilimanjaro toka CHADEMA ianzishwe hufanyika mikoa mingine sio kilimanjaro kwa nini?
Kafanye wewe, wewe unawapangia CHADEMA mahali kwa kuandamana?
 
Back
Top Bottom