Kahama: Msichana wa miaka 21 amuua mpenzi wake miaka 50 kwa tofali la kichwa

Beira Boy

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
17,895
25,944
Amani iwe nanyi wakuu

Msichana mmoja huko mjini Kahama amemuua mpenzi wake kwa kumpiga tofali moja matata sana la kichwa.

Baada ya kuzuka ugomvi wao ambao chanzo chake ni wivu wa mapenzi.

Msichana huyo wa miaka 22 alikuwa akiishi na mpenzi wake wa miaka 50.

NB: Wanawake mwaka huu mumetuamulia kabisa mara mtuakate vifanyio mara mtupige tofali za kichwa.

Chanzo: Mwananchi

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aman iwe nanyi wakuu

Msichana mmoja huko mjin kahama amemuua mpenz wake kwa kumpiga tofal moja matata sana la kichwa

Baada ya kuzuka ugomvi wao ambao chanzo chake ni wivu wa mapenzi

Msichana huyo wa miaka 22 alikuwa akiishi na mpenz wake wa miaka 50

Nb wanawake mwaka huu mumetuamulia kabisa mara mtuakate vifanyio mara mtupige tofari za kicwa

Dah

Chanzo mwananchi New paper

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwananchi New Paper is a brand new year's paper
 
Aman iwe nanyi wakuu

Msichana mmoja huko mjin kahama amemuua mpenz wake kwa kumpiga tofal moja matata sana la kichwa

Baada ya kuzuka ugomvi wao ambao chanzo chake ni wivu wa mapenzi

Msichana huyo wa miaka 22 alikuwa akiishi na mpenz wake wa miaka 50

Nb wanawake mwaka huu mumetuamulia kabisa mara mtuakate vifanyio mara mtupige tofari za kicwa

Dah

Chanzo mwananchi New paper

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
watu wa kanda ya ziwa wanaongoza kwa kuua na kuuana
 
Aman iwe nanyi wakuu

Msichana mmoja huko mjin kahama amemuua mpenz wake kwa kumpiga tofal moja matata sana la kichwa

Baada ya kuzuka ugomvi wao ambao chanzo chake ni wivu wa mapenzi

Msichana huyo wa miaka 22 alikuwa akiishi na mpenz wake wa miaka 50

Nb wanawake mwaka huu mumetuamulia kabisa mara mtuakate vifanyio mara mtupige tofari za kicwa

Dah

Chanzo mwananchi New paper

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
Weka na majina wengine tuna ndugu huko na tuko mbali na Magazeti,tupia hata.tu picha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom