Kahama: Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga azuiwa kuingia mgodi wa Bulyanhulu

Mmh mkuu wa mkoa azuiwe kuingia??!! Then nini kikafuata hapo?

-Kaveli-
 
Inaelekea Kuna mtu anajaziba ambazo zitakugharimu kama taifa. Wazungu hawanaga cha kupoteza mark my words, hizi siku ambazo hawajazalisha kuna mtu atazilipa
Any way kinacho tokea sasa kingine labda hatukijuwi , wakati wenzetu wana taarifa za ziada ktk hayo mambo ya production, export na declaration ya kilicho zalishwa, thamani yake nk
 
Back
Top Bottom