Kahama: Fuso yagonga bodaboda na kujeruhi vibaya

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
Habari za jioni wakuu,

Kuna taarifa ya ajali imetokea huko Kahama eneo la Nyihogo,

Majeruhi ni mmoja ambaye ni dereva bodaboda jina halijatambulika bado.. dereva wa fuso kakimbia baada ya ajali.

WhatsApp Image 2016-10-18 at 19.00.51.jpeg

WhatsApp Image 2016-10-18 at 19.00.59.jpeg
WhatsApp Image 2016-10-18 at 19.01.00.jpeg
WhatsApp Image 2016-10-18 at 19.01.02.jpeg
WhatsApp Image 2016-10-18 at 19.01.04.jpeg
WhatsApp Image 2016-10-18 at 19.01.07(1).jpeg
WhatsApp Image 2016-10-18 at 19.01.07.jpeg
 
BREAKING NEWS
Wadau ajali mbaya imetokea mida hii hapa maeneo ya Nyihogo barabara kuu ya lami Kahama mjini ikihusisha Roli na bodaboda,Roli lilikuwa linatoka mjini na bodaboda ikiwa nyuma ya Roli hilo,katikati hali ya kushangaza bodaboda alitaka kuovateki Roli hilo nae dreva wa Roli ndipo alipotaka kumkwepa nakujikuta akimfata alipo bodaboda huyo nakuparamia ng'ambo ya pili ya barabara kama picha zinavyoonyesha hapa,hakuna vifo isipokuwa majeruhi,dreva wa Roli amekimbia,dreva wa pikipiki ndie huyu ktk picha amepakizwa kwenye bajaji tayari kwenda Hospital alikuwa amebeba abilia nyuma lakini abilia yeye hajaumia sana.bado nipo eneo la tukio nitawajuza mengi baadae kidogo wana JF.
 

Attachments

  • FB_20161021_15_18_54_Saved_Picture.jpg
    FB_20161021_15_18_54_Saved_Picture.jpg
    22.1 KB · Views: 61
  • FB_20161021_15_19_00_Saved_Picture.jpg
    FB_20161021_15_19_00_Saved_Picture.jpg
    18.8 KB · Views: 71
  • FB_20161021_15_19_06_Saved_Picture.jpg
    FB_20161021_15_19_06_Saved_Picture.jpg
    26.9 KB · Views: 62
  • FB_20161021_15_19_14_Saved_Picture.jpg
    FB_20161021_15_19_14_Saved_Picture.jpg
    34.4 KB · Views: 73
  • FB_20161021_15_19_20_Saved_Picture.jpg
    FB_20161021_15_19_20_Saved_Picture.jpg
    23.1 KB · Views: 68
  • FB_20161021_15_19_27_Saved_Picture.jpg
    FB_20161021_15_19_27_Saved_Picture.jpg
    27.4 KB · Views: 72
hawa Boda boda wasipoangaliwa kila siku wataleta majanga- na hivi tunafanya siasa kwenye ukweli, acha tuendelee kuzika na kuongeza wategemezi. Kila nikiwa barabarani huwa naona upumbavu wa hawa watu, ni kichefu chefu kwa kweli.
 
hawa Boda boda wasipoangaliwa kila siku wataleta majanga- na hivi tunafanya siasa kwenye ukweli, acha tuendelee kuzika na kuongeza wategemezi. Kila nikiwa barabarani huwa naona upumbavu wa hawa watu, ni kichefu chefu kwa kweli.
Yaaani huku Kahama ndio kabisaaa nahiv ndio usafiri wetu ni shidah,dizaini kama hakunaga askari wewe mtu anapakia mshikaki anapita mbele ya askari bila shida yoyote hii ni hatari aiseh.
 
Wakati mwingine maderea wanawafanyia kusudi
Katika barabara kuna magari yenye right of way, hapa kwetu unakuta yuko na kakutukutu kake katikati ya barabara utadhani ana bodi ya chuma. Akipigwa upepo wa basi tu unaoana anapepea kama kipepeo mita saba kwenye mtaro. Ujinga huu japo watu hampendi kuusema.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom