KAGERA: Wodi ya hospitali ya rufaa yawaka moto na kuua mmoja

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,410
Wodi ya saba ya hospitali ya rufaa ya mkoa wa Kagera imenusurika kuteketea baada ya kuzuka kwa moto ambao umesababisha kifo cha mtu mmoja ambaye ametajwa kwa jina la Jackson Didas mkazi wa kata ya Hamgembe iliyoko katika manispaa ya Bukoba ambaye ni mtoto anayekadiliwa kuwa na umri wa mwaka mmoja na nusu

Aliyekuwa amelazwa katika wodi hiyo huku akiwa mahututi.
 
Wodi ya saba ya hospitali ya rufaa ya mkoa wa Kagera imenusurika kuteketea baada ya kuzuka kwa moto ambao umesababisha kifo cha mtu mmoja ambaye ametajwa kwa jina la Jackson Didas mkazi wa kata ya Hamgembe iliyoko katika manispaa ya Bukoba ambaye ni mtoto anayekadiliwa kuwa na umri wa mwaka mmoja na nusu aliyekuwa amelazwa katika wodi hiyo huku akiwa mahututi.
Mkiulizwa Bukoba kunani?!!mnakuwa wakali.
 
Ayaaaa...... poleni wana Kagera. Poleni wafiwa. Kuna haja mkae chini kutafakari kuhusu majanga yanayowasibu na namna ya kuyaondoa au kupunguza makali
 
Back
Top Bottom