Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,319
- 72,747
Hapo ni Biharamuro watu wakijitokeza kumsalimia Lowassa akiwa njiani kwenda Kagera kwa ziara ya kawaida.
Hakuna aliyekuwa anajua kuwa anapita, lakini walipo mgundua kuwa ni yeye ulipigwa mwano kama wa vita vile na watu wakakusanyika kumsalimia na kumweleza wanavyo sononeka na matusi waliyo pata siku za karibuni.
Habari zina sema aliwafariji na kuwaambia wasamehe lakini wasisahau 2020 wachinjie ziwani watukanaji wote.