Kagera usiniulize, sikujui hunijui na kweli sifahamu Kabisa maana ya hii orodha

PRODA LTD

JF-Expert Member
Oct 20, 2016
1,005
1,333
Usiniulize, sikujui hunijui. Na kweli sifahamu Kabisa maana ya hii orodha

1 Mkombozi benki mabati na saruji mil 203
2 Rais Uhuru Kenyata mashuka na mablanketi mil 200
3 Serikali ya Korea Mil 108
3 Serikali ya Uingereza bil 6
4 Askofu Mkuu wa EAGT, Dkt Brown Mwakipesile mil 10
5 Lowassa mil 20
6 Mbowe mil 5
7 Dr. Wilfred Lwakatare mil 80 harambee
8 Waziri Mkuu wa INDIA NARENDRA MODI na serikali yake mil 545
9 Mch; King James wa kanisa la P.A.G Kahororo Kyamaizi Bukoba mil 3
10 Mkurugenzi wa kiwanda cha Magodoro Dodoma, Haidary Gulamali, magodoro 200 yenye thamani ya shilingi milioni 10
11 Bi. Anna Jiang wa Kampuni ya Chang Qing International
Investiment Limited magodoro 200 yenye thamani ya 6,000,000
Tani 2 na nusu za mchele na mablanketi 100 thamani ya 162
12 United States of America BIL 5.4
13 Jasem Al-Najeola balozi wa Kuwait dola Marekani 33,000
14 Waziri wa Afrika Mashariki wa Burundi, Leontine Nzeyimana alikabidhi msaada ulitolewa na nchi hiyo ni mchele tani 100, mahindi tani 50, sukari tani 30 na majani ya chai tani tatu.
14 Raisi Yoweri Museven, Tshs Milioni 430 kupitia serikali
15 Jokate Mwegelo kushirikiana na GSM Foundation Tanzania magodoro 200
16 Said Salim Bahresa mil 100
17 Reginald Mengi mil 110
18 BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR MIL 30
19 Tigo Mifuko ya saruji 2424 yenye thamani ya Sh mil 40
20 UWT- Chama cha Mapinduzi mkoa Kagera mifuko ya saruji 200
21 Kiwanda cha saruji cha CAMEL CEMENT cha jijini Dar es salaam mifuko 1000 ya saruji
22 Caspian, Omid Karambech aliyetoa sh.mil 190
23 Kiongozi wa Madhehebu ya bohora mil usd 250
24 Bavicha mil 7
25 Balozi Kagasheki mil 5
26 Uvccm mwanza mil 3
27 Mch Dr. Getrude Lwakatare mil 10

Sitaki maswali jisomee mwenyewe
 
duh hata vibaka wa k/koo pale mtaa wa kongo huwa wanaiba kwa heshima na staha san huwez kuta wamemkaba mlemav,kikongwe au mjamzito ajab ni hawa wanaojiita wafia wanyonge ndio wakakuwa #1 katika kuwaibia hao wanyonge mchana kweupe bila aibu,haiwwzekan utangazie ulimwengu kuwa wawasaidie wahanga wa janga flan afu pesa uitumie kujenga uwanja wa kufikia na ndege yako ukienda kwenu
[HASHTAG]#pombe[/HASHTAG] sio chai,2020 naacha pombe
 
Pesa za rambi rambi za wajane huko Kagera zimepangiwa bajeti ya kujenga uwanja wa ndege huko Chato hizo nyingine wametoa kutengeneza shule, zahanati na barabara wananchi mnatakiwa kupambana na hali yenu serikali ya wanyonge haina uwezo wa kuwajengea nyumba kila mwananchi! !
 
Usiniulize, sikujui hunijui. Na kweli sifahamu Kabisa maana ya hii orodha

1 Mkombozi benki mabati na saruji mil 203
2 Rais Uhuru Kenyata mashuka na mablanketi mil 200
3 Serikali ya Korea Mil 108
3 Serikali ya Uingereza bil 6
4 Askofu Mkuu wa EAGT, Dkt Brown Mwakipesile mil 10
5 Lowassa mil 20
6 Mbowe mil 5
7 Dr. Wilfred Lwakatare mil 80 harambee
8 Waziri Mkuu wa INDIA NARENDRA MODI na serikali yake mil 545
9 Mch; King James wa kanisa la P.A.G Kahororo Kyamaizi Bukoba mil 3
10 Mkurugenzi wa kiwanda cha Magodoro Dodoma, Haidary Gulamali, magodoro 200 yenye thamani ya shilingi milioni 10
11 Bi. Anna Jiang wa Kampuni ya Chang Qing International
Investiment Limited magodoro 200 yenye thamani ya 6,000,000
Tani 2 na nusu za mchele na mablanketi 100 thamani ya 162
12 United States of America BIL 5.4
13 Jasem Al-Najeola balozi wa Kuwait dola Marekani 33,000
14 Waziri wa Afrika Mashariki wa Burundi, Leontine Nzeyimana alikabidhi msaada ulitolewa na nchi hiyo ni mchele tani 100, mahindi tani 50, sukari tani 30 na majani ya chai tani tatu.
14 Raisi Yoweri Museven, Tshs Milioni 430 kupitia serikali
15 Jokate Mwegelo kushirikiana na GSM Foundation Tanzania magodoro 200
16 Said Salim Bahresa mil 100
17 Reginald Mengi mil 110
18 BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR MIL 30
19 Tigo Mifuko ya saruji 2424 yenye thamani ya Sh mil 40
20 UWT- Chama cha Mapinduzi mkoa Kagera mifuko ya saruji 200
21 Kiwanda cha saruji cha CAMEL CEMENT cha jijini Dar es salaam mifuko 1000 ya saruji
22 Caspian, Omid Karambech aliyetoa sh.mil 190
23 Kiongozi wa Madhehebu ya bohora mil usd 250
24 Bavicha mil 7
25 Balozi Kagasheki mil 5
26 Uvccm mwanza mil 3
27 Mch Dr. Getrude Lwakatare mil 10

Sitaki maswali jisomee mwenyewe
halafu juzi Lwakatare anajiramba ramba midomo tu. watu wa Bukoba bana!
 
kweli serikar ni siri-kali sana!,

inashangaza sana kuona wachumi wanashauri misaada ya wahanga itumike kama chanzo cha kipato kwa ghalama za siri-kali

inaelekea hata mago-dolo yatakuwa yaliuzwa ipatikane "cash money" bila kusahau simentii ya wazee wa twiga!!!!
 
Pesa za rambi rambi za wajane huko Kagera zimepangiwa bajeti ya kujenga uwanja wa ndege huko Chato hizo nyingine wametoa kutengeneza shule, zahanati na barabara wananchi mnatakiwa kupambana na hali yenu serikali ya wanyonge haina uwezo wa kuwajengea nyumba kila mwananchi! !
hivi chato anajenga airport au airstrip!,kama ni airport na mm nitajiuliza pesa zimepatkana wap na wakat katika bajeti naskia huo uwanja haupo!
 
bado hujamuweka hapo MO dewji..
Pia nilichangia laki yani kwenye akaunti yao.
nisaidie njia gani nitumie kuidai?
 
duh hata vibaka wa k/koo pale mtaa wa kongo huwa wanaiba kwa heshima na staha san huwez kuta wamemkaba mlemav,kikongwe au mjamzito ajab ni hawa wanaojiita wafia wanyonge ndio wakakuwa #1 katika kuwaibia hao wanyonge mchana kweupe bila aibu#pombe sio chai,2020 naacha pombe
Haaahaa jf!
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom