Mpira umekwisha: Yanga 1 vs Kagera 0

Aeronautical

Senior Member
Jun 19, 2019
127
137
Habari wana Jamiiforums
Baada ya kuifunga Mbeya city, leo mabingwa wa kihistoria wa Tanzania tunaenda kucheza na Kagera sugar katika uwanja wa kaitaba mkaoni Kagera. Nawakaribisha mashabiki wa mpira wajionee kabumbu nzuri na ya kuvutia kutoka kwa Mabinga wa kihistoria.
Na hiki ndicho kikosi cha leo cha Yanga. Karibuni kwa updates

1600515291373.png


Updates:
Mapumziko: Yanga 0 vs Kagera Sugar 0
Dakika ya 72: Yanga 1 vs Kagera 0
Mpira umekwisha: Yanga 1 vs Kagera 0
 
duuh! yanga inabidi kipindi cha pili ifanye mabadiliko, tofauti na hapo wanakalia ukuni
 
Yanga mnabebwa sana leo kipindi cha pili mumpe zawadi mwamuzi

Kagera wamenyimwa penalty ya wazi,waamuzi wakajidai hawajaona mpira umeshikwa live
 
Kama kuna timu inafaidika na waamuzi nchi hii basi ni Utopolo.

Kila mechi lazima kuwe na matukio ya kubebwa.Leo wanasubiri mtu atolewe kwa red ndio wafunge
 
Yanga mnabebwa sana leo kipindi cha pili mumpe zawadi mwamuzi

Kagera wamenyimwa penalty ya wazi,waamuzi wakajidai hawajaona mpira umeshikwa live
Ingekuwa upande wa Kagera ingetengwa penati.
Nadhani marefa wanaiogopa hii timu hakika.
Kagera wajihadhari sana kukwepa kadi nyekundu pia.
 
Back
Top Bottom