KAGERA: Rais Magufuli kuanza ziara ya siku nne kuanzia Novemba 6

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Kazi kazi.

Mh Rais ataanza ziara ya siku 4 mkoani Kagera kuanzia Novemba 6.

Katika ziara hiyo atazindua uwanja wa ndege wa Kagera na kutembelea kiwanda cha sukari cha kagera (Kagera Sugar).

Aidha Mh Rais atazindua kituo cha forodha akiwa pamoja na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Mseveni.

Hapa kazi tu.
 
Asije akawapa maneno mabaya tena kama kipindi cha tetemeko
IMG-20171103-WA0136.jpg
sijui atasema ni uongo??
 
Kazi kazi.

Mh Rais ataanza ziara ya siku 4 mkoani Kagera kuanzia Novemba 6.

Katika ziara hiyo atazindua uwanja wa ndege wa Kagera na kutembelea kiwanda cha sukari cha kagera (Kagera Sugar).

Aidha Mh Rais atazindua kituo cha forodha akiwa pamoja na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Mseveni.

Hapa kazi tu.

Tunataka atuambie::
1. Je, atarudisha fedha za fidia za Wahanga wa Tetemeko la ardhi?
2. Je, ataomba radhi kwa matusi allyowatukanawana Kagera...?
 
Kazi kazi.

Mh Rais ataanza ziara ya siku 4 mkoani Kagera kuanzia Novemba 6.

Katika ziara hiyo atazindua uwanja wa ndege wa Kagera na kutembelea kiwanda cha sukari cha kagera (Kagera Sugar).

Aidha Mh Rais atazindua kituo cha forodha akiwa pamoja na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Mseveni.

Hapa kazi tu.
Same regions. Why not Mbeya????
 
Kazi kazi.

Mh Rais ataanza ziara ya siku 4 mkoani Kagera kuanzia Novemba 6.

Katika ziara hiyo atazindua uwanja wa ndege wa Kagera na kutembelea kiwanda cha sukari cha kagera (Kagera Sugar).

Aidha Mh Rais atazindua kituo cha forodha akiwa pamoja na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Mseveni.

Hapa kazi tu.
Sawa aendelee kufanya siasa Wengine wapumulie mahabusu
 
Kagera wamuhulize pesa za rambirambi ziko wapi?
Mshituko

Swissme
 
Attachments

  • 23137762_158463464752912_6793583757606518784_n.mp4
    1.6 MB · Views: 21
Hotuba mbona UNABET tena PERFECT unajua tu tena miaka 2 ya tawala yke
 
Back
Top Bottom