KAGERA: Rais Magufuli kuanza ziara ya siku nne kuanzia Novemba 6

Blazaaa... Si keshasema nyinyi huko kwengine hamkumchagua!! Au hamkumwelewa!!
Kama alivyowabomolea wa Kimara waliochagua Chadema!

Wa Mwanza akasema "human face" lazima izingatiwe, kwa kuwa Chama Cha Mapinduzi ndiyo chama pekee chenye jicho la huruma!
 
Kazi kazi.


Mh Rais ataanza ziara ya siku 4 mkoani Kagera kuanzia Novemba 6.

Katika ziara hiyo atazindua uwanja wa ndege wa Kagera na kutembelea kiwanda cha sukari cha kagera (Kagera Sugar).

Aidha Mh Rais atazindua kituo cha forodha akiwa pamoja na Rais wa Uganda Yoweri Kaguta Mseveni.

Hapa kazi tu.
Huyu kaanza kampeni mapema, uwanja wa ndege unatumika miaka sasa eti anenda kuuzindua!
 
Wadanganyika watajifanya wamesahau.....watapewa tshirts kofia wali....watasahau nitawadharau sana ndugu zangu wa BK....naamini msimamo wao uko pale pale sijui lakini nasubiri kuona.......ila unafiki wao ndio mtaji /mtego wao....nasubiri!!
 
Uzinduzi awamu ya nne mh.Raisi hakuhusika awamu hii ni mh.Raisi mwenyewe na makamu wake ndio anaenda ughaibuni.Amakweli mambo yamebadilika
 
Tunataka atuambie::
1. Je, atarudisha fedha za fidia za Wahanga wa Tetemeko la ardhi?
2. Je, ataomba radhi kwa matusi allyowatukanawana Kagera...?
Awapi mkuu tena wajiandae kisaikolojia lazma awape kubwa kuliko
 
Tunataka atuambie::
1. Je, atarudisha fedha za fidia za Wahanga wa Tetemeko la ardhi?
2. Je, ataomba radhi kwa matusi allyowatukanawana Kagera...?
Wabongo huwajui!!,wameshasahau tayari leo utatuona tukiwa kwenye jezi za kijani
a3fbcb1e5be4888c9fcee2e75d66ccf5.jpg
 
Back
Top Bottom