Kagera: Mtendaji wa Kata afikishwa Kizimbani kwa kumfanyia mtoto shambulio la aibu la kumshika matiti

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,438
3,333
Mtendaji wa Mtaa wa Kyakailabwa Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba akikabiliwa na mashtaka mawili ya kumtorosha mtoto mwenye umri wa miaka 14 na kumfanyia shambulio la aibu la kumpapasa matiti.

Kesi hiyo namba 149 ya mwaka 2020, imesomwa Mahakamani hapo na Wakili wa Serikali Joseph Mwakasege, mbele ya Hakimu wa Mahakama hiyo Ruth Migan, amesema mshtakiwa huyo Patrick Rwegasira mwenye umri wa miaka 44 baada ya kumtorosha mtoto huyo, aliishi naye kwake na alimpapasa matiti akilenga kumfanyia vitendo vya aibu.

Mwakasege amesema kuwa mshtakiwa huyo alimchukua mtoto huyo kutoka kwa wazazi wake Juni 2 hadi 04 mwaka huu alipokamatwa na kupelekwa Polisi.

Akijitetea mshtakiwa huyo amedai kuwa mtoto huyo hajamtorosha, bali alikutana naye mtaani baada ya kufukuzwa na wazazi na kuamua kumpa hifadhi kama Mtendaji.

Mshtakiwa amerejeshwa rumande kutokana na kukosa wadhamini na kesi yake itatajwa tena Julai 6 mwaka huu.
 
miaka 14 dah
mzee akimuangalia mkewe akaona hapana wacha akapapase vichuchu mwiba
 
... hilo lazima litakuwa gamba maana ni mashezni ya tabia kuanzia rushwa hadi mashambulio ya aibu kwa watoto. Ukiona chama kimefichwa huna haja ya kuhoji ni gamba zoefu hilo. Ingekuwa ni wa vyama vya kidemokrasia saa hizi ingekuwa "breaking news" vyombo vyote vinavyomilikiwa na dola na chama na kwenye mitandao.
 
Ushahidi mtoto/jamhuri ( i) atautoa wapi wa kumtia hatiani? Aliishi naye siku nne , hakufanya ngono naye bali alimpapasa matitti?!!!
 
Kuna namna hapa,
Habari kama hizi huwa sizipapatkiii maana baadae huwa kuna behind the story.
 
Apa kuna mawili ila namwamini mtendaji ajala uroda maana angekula uyo mtoto kwa siku zote 2 asinge kua na stamina ila kushika vikonzi basi apa ni setup tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom