Kagera - Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia

JamiiForums

JF Official Account
Nov 9, 2006
6,200
4,991
Wakuu,

Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2015 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Kagera. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.

Mkoa wa Kagera una una jumla ya majimbo ya uchaguzi 9 ambayo ni:-

Bukoba Mjini:
Wilfred Lwakatare (CHADEMA)

Bukoba Vijijini: Rweikiza Jasson (CCM)

Biharamulo: Oscar Rwegasira Mukasa (CCM)

Karagwe: Innocent Luugha Bashungwa (CCM)

Kyerwa: Innocent Sebba Balikwate (CCM)

Muleba Kusini: Prof. Anna Tibaijuka (CCM)

Nkenge: Deodorius Kamala (CCM)

Ngara: Alex Gashaza (CCM)

Muleba Kaskazini: Charles Mwijage (CCM)

ZINGATIA: Mikoa yote ina mada yake ya 'Update' ili kuweka wepesi katika ufuatiliaji.

Muleba Kaskazini UDIWANI: CHADEMA kata 5, CCM 13

 
Watu wa Rubale,ibwela..kyetema,bugabo,kanyigo,kyema,izimbya,nyikigando,rukoma,kanazi,kemondo leten updates
 
Msimamizi atokomea na vifaa vya uchaguzi huko kashai bukoba hadi sasa saa tatu hajatokea na simu yake haipatikani
 
Watu wa Rubale,ibwela..kyetema,bugabo,kanyigo,kyema,izimbya,nyikigando,rukoma,kanazi,kemondo leten updates

mie nipo uku izimbya,kata hii chadema tushaichukua mapema!kwani rweikiza ana shirikiana na ukawa kwa kuwa diwani wa ccm alikuwa kambi ya karamagi!
kwa habari zaidi nitafute facebook kwa username ya Yohana Kilimba
 
Ndg zangu wa Mabawe, Kanazi, Murusagamba, Bugarama, MURUGALAMA, Bukiriro, Kabanga, Kanazi, Rulenge, Mbuba na kwingineko Wilaya ya Ngara leteni data
 
Wakati huu
 

Attachments

  • 1445757129390.jpg
    1445757129390.jpg
    47.6 KB · Views: 1,136
Back
Top Bottom