Kagera: Kwanini matukio mengi ya kusikitisha hutokea mkoa huu

mteulethebest

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
261
250
KWA NINI MATUKIO MENGI YA KUSIKITISHA MARA NYINGI HUWA YANAUKUMBA MKOA WA KAGERA?
Kagera ni mkoa unaopatikana Kaskazini Magharibi mwa Tanzania ambao umekuwa ukikumbwa na matukio ya kihistoria kama yafuatayo:
1. UKIMWI
Kwa mara ya kwanza ukimwi Tanzania ulianzia mkoani Kagera, huku wazawa waliuita edith wakimaanisha Aids kwa kiingereza, baadae ukajulikana kama Juliana au (slim) ugonjwa wa kukonda miaka ya sabini mwishoni mpaka miaka ya tisini kila nyumba iliguswa wengine dalili zake ziliitwa Bukoba syndrome.
2. VITA YA KAGERA
Miaka ya 1978 ilikuwa tabu mpaka sasa wajuzi watakuambia mahandaki yalipopatikana kiasi kadhaa watu walikufa.
3. KUZAMA KWA MELI YA MV BUKOBA
Mwaka 1996 ambapo na lenyewe lilikuwa janga la nchi ambapo zaidi ya watu 1000 walikufa kutokana na ajali hiyo.
4. MVUA YA ELININO
Miaka ya 98 na yenyewe ilikuwa tabu kwa Wahaya.
5. UGONJWA WA MNYAUKO WA
Migomba hunyauka na kukauka na kuacha wenyeji wengi wakikosa chakula kikuu ndizi.
6. TETEMEKO LA ARDHI
Kumekuwa kukiripotiwa matetemeko kadhaa ya ardhi ambayo yamekuwa yakisababisha uhalibifu wa mali mbalimbali pamoja na maafa.
 
Tiger One

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
569
225

Mkuu umeweka kumbukumbu nzuri ya matukio Kagera.
Naamini hii inatokana na eneo mkoa ulipo, majirani na hali ya kijiografia ya mkoa.
Ukimwi waliambukizwa toka majirani Uganda, kuzama MV ni kutokana na kwa wakati ule kutokuwa na usafiri mbadala kwa waliowengi na hivo kujikuta MV inatumika non stop bila kufanyiwa matengenezo.
Tetemeko inatokana na jiografia ya eneo husika.
Vita ya kagera vilevile inatokana na destination au location ya mkoa kwani unaonekana kama ulipaswa kuwa sehemu ya Uganda.
Mwisho ni kwamba serikali zote kuanzia ya kwanza mpaka hii zote zinauogopa mkoa ule kwa uwezo, ujuzi, uelewa na uthubutu wa watu wake na hivyo kuutelekeza na kwa kila namna kuutafutia namna ya kuudumaza ili watu wake wasipate nguvu ya kujiendeleza, kujeleza, kudai haki na mwisho kuangukia uongozi wa nchi hii kwani wanaaminika ni wabinafsi, majivuno na siambiliki.
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
8,367
2,000

Acha kuwatusi watani wangu, kwani mikoa mingine hakuna huo Ukimwi, au Elinino ya mwaka 1998 mbona ilitokea karibia nchi nzima au ulikuwa bado unanyonya?
 
Michael Anthon

JF-Expert Member
May 7, 2017
220
250
Nimeipenda yaani matukio yake yote ni International !!!!
Na yanayotikea nchi kama japan na kwingineko c mnakuwa na matukio ya kipuuzi puuzi kama vile mauaji ya boda boda ambako hata kidunia hayajulikani !!
 
mteulethebest

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
261
250
Kutaf
Angaikia kwanza kimoja.. ww si ndio ulikua unatafuta mchumba mara umerukia Kagera tena?.. PAMBANA NA HALI YAKO
kutafuta mchumba hakuwezi kuzui hisia zangu kwa mengine mim mwenye natokea kagera ila majanga mengi uanzia kagera kagera kuna nini uondo ukweli
 
mteulethebest

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
261
250
Mini kifanyike tuiokoe kagera katika haya majanga kwanza sisi watanzania maana kila kitu kagera hata wapiga madili wengi kagera ila naipongeza kuwa wanapinga sana mapenzi ya jinsia moja hapo nawapongeza sana hayo yameanzia pengine
 
instanbul

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
6,869
2,000
Mkuu umeweka kumbukumbu nzuri ya matukio Kagera.
Naamini hii inatokana na eneo mkoa ulipo, majirani na hali ya kijiografia ya mkoa.
Ukimwi waliambukizwa toka majirani Uganda, kuzama MV ni kutokana na kwa wakati ule kutokuwa na usafiri mbadala kwa waliowengi na hivo kujikuta MV inatumika non stop bila kufanyiwa matengenezo.
Tetemeko inatokana na jiografia ya eneo husika.
Vita ya kagera vilevile inatokana na destination au location ya mkoa kwani unaonekana kama ulipaswa kuwa sehemu ya Uganda.
Mwisho ni kwamba serikali zote kuanzia ya kwanza mpaka hii zote zinauogopa mkoa ule kwa uwezo, ujuzi, uelewa na uthubutu wa watu wake na hivyo kuutelekeza na kwa kila namna kuutafutia namna ya kuudumaza ili watu wake wasipate nguvu ya kujiendeleza, kujeleza, kudai haki na mwisho kuangukia uongozi wa nchi hii kwani wanaaminika ni wabinafsi, majivuno na siambiliki.
Ukweli mtupu na ndo sababu kuu ila sasa wahaya wamejipanga ipasavyo kuendeleza bukoba ukitazama inavyokua siku hizi huwezi hamini.wahaya kazeni buti na wala serikali haisapoti ukiangalia nyumba za serikali kweli wameutelekexa mji hawana hata mpango Wa kujenga maghorofa marefu ya ppf,pspf,lapf nk wakati eneo linaruhusu wala meli hamna
.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom