Kagera kupoteza Billion 53. 4 kwa mwaka mauzo ya dhahabu kama itamegwa na kutengeneza Mkoa wa Chato

Bora kagera ingekuwa nchi kwani kwa ukubwa unazidi Rwanda na burundi kuliko manyanyaso haya inayopitia, haiwezekani inapakana na nchi nne bado ni maskini. Haya matendo Mungu anawaona chuki zidi ya mkoa huu zinazidi jamani
Uzuri ni kwamba wameanza kufunguka kiakili na kutambua hizo njama, kwahiyo muda utafika.
 
Tanganya toto huo mchoro wa stendi au nyumba za kuishi
Mchoro ndiyo huo
b2749ea02c321c0176987912a3bbe72b.jpg
39aab9b9c8e99f4670ec6d140080f2cb.jpg
 
Kama Wahaya waliyeyusha chuma miaka 2000 na ushee iliyopita na pia kumzidi akili hata mzungu kwa kuvumbua hilo

Hapo tunaona kabisa Wahaya wanahujumiwa kila kona

Hawa jamaa walikuwa na Akili sana ila kuna kitu wanafanyiwa
Haiwezekani matatizo yote kwao tu na bado wakasimangwa na kupigwa hela zao za msaada
Hata kabla ya vita, mkoa ulikuwa na maendeleo ya kutosha. Serikali ikaanza sarakasi waliogopwa sana na JN. Matatizo iliyokutana nayo kagera hakuna mkoa unaoweza kukutana nayo ukasimama hata Dar es salaam haiwezi.
 
Wana Jf,

Kama utabiri ukitokea uenda Kagera ikapoteza fedha nyingi kwa kile tunachokiita upuuzi wa mwombolezaji mmoja toka Chato. Chato imebebwa na Kagera miaka mingi tangia falme mpaka kuwa wilaya kamili. Sasa hawa jamaa wanaleta unazi kuwa kila kiongozi mkuu apewe anachohitaji, kwa njia hii tutakuwa na mikoa mia moja yaani.

Ona sasa Kagera inaenda kupoteza million 53.4. Alafu mje meme wahaya hawapendi kujenga kwao kumbe wanahujumiwa lila waliotaka kumbuka.

Nakuomba mama cabana na yule mzee labda dish lilicheza yakamtoka. Tuiachie lagers yao imeumizwa mno na majanga mengi . Tetemeko, ukimwi, MV. BUKOBA, MNYAUKO elinino haya yote yamepita, bado hii adhabu ya kumegwa , wanakagera wamekataa, msilete chuki hata kama Tanzania ni moja

View attachment 2023247
Nshomile kwisha tambo zao wanajifanya bila wao hakuna kagera sasa wamekamatwa balls wanalialia tu

Wakauze ndizi na kahawa wapate hizo billion

USSR
 
Ndizi zitaendelea kuuzwa, kahawa itaendelea kuuzwa na madini ya NICKEL pia yatabaki kagera na yatauzwa pia hamna cha mkoa wa chato hapa.
 
Wana Jf,

Kama utabiri ukitokea uenda Kagera ikapoteza fedha nyingi kwa kile tunachokiita upuuzi wa mwombolezaji mmoja toka Chato. Chato imebebwa na Kagera miaka mingi tangia falme mpaka kuwa wilaya kamili. Sasa hawa jamaa wanaleta unazi kuwa kila kiongozi mkuu apewe anachohitaji, kwa njia hii tutakuwa na mikoa mia moja yaani.

Ona sasa Kagera inaenda kupoteza million 53.4. Alafu mje meme wahaya hawapendi kujenga kwao kumbe wanahujumiwa lila waliotaka kumbuka.

Nakuomba mama cabana na yule mzee labda dish lilicheza yakamtoka. Tuiachie lagers yao imeumizwa mno na majanga mengi . Tetemeko, ukimwi, MV. BUKOBA, MNYAUKO elinino haya yote yamepita, bado hii adhabu ya kumegwa , wanakagera wamekataa, msilete chuki hata kama Tanzania ni moja

View attachment 2023247
Si inamegwa na watu wake kwani inachukuliwa na watu kufukuzwa
 
Bilioni zote hizo hata stend ya mabasi na soko wameshindwa kujenga? Mzee BIgambo wamege hawa wahaya hawana shukrani, mkimaliza kuwamega na sisi wa ng'mbo ya mto Kagera tunajimega kurudi kwa Kaguta Musseveni, mto Kagera ndio mpaka sahihi.
 
Hata kabla ya vita, mkoa ulikuwa na maendeleo ya kutosha. Serikali ikaanza sarakasi waliogopwa sana na JN. Matatizo iliyokutana nayo kagera hakuna mkoa unaoweza kukutana nayo ukasimama hata Dar es salaam haiwezi.

Wana akili ya kuzaliwa na wakiwa wamoja wanaweza kufanya zaidi ingawa huwa wanaonekana ni tishio sijui kwanini

Hata Ha wa KG walisahauliwa sana tangu uhuru na mpaka leo wote wanaonekana ni Rundi tribe tu
Ingawa mzungu ndio alitukatakata na kuweka mipaka ila hatuoni kuwa sisi ni wamoja hata tufanyeje

Leo kila mmoja akipimwa DNA na kutafutwa asili yake wengine tutakutwa tuna asili ya Cameroon
 
Bilioni zote hizo hata stend ya mabasi na soko wameshindwa kujenga? Mzee BIgambo wamege hawa wahaya hawana shukrani, mkimaliza kuwamega na sisi wa ng'mbo ya mto Kagera tunajimega kurudi kwa Kaguta Musseveni, mto Kagera ndio mpaka sahihi.
Hawaja shindwa kujenga hizo ni njama za serikali ndiyo inakwamisha mradi wa stendi mbona kila kitu kilishawekwa wazi kuhusu stendi au hujuhi.
 
Sasa kaka kila mwaka wanapat bilioni 53, miak yote hiyo wakashindwa kujenga hata stendi ya maana!!?
 
Wana akili ya kuzaliwa na wakiwa wamoja wanaweza kufanya zaidi ingawa huwa wanaonekana ni tishio sijui kwanini

Hata Ha wa KG walisahauliwa sana tangu uhuru na mpaka leo wote wanaonekana ni Rundi tribe tu
Ingawa mzungu ndio alitukatakata na kuweka mipaka ila hatuoni kuwa sisi ni wamoja hata tufanyeje

Leo kila mmoja akipimwa DNA na kutafutwa asili yake wengine tutakutwa tuna asili ya Cameroon
Bado wana zile elements za kwamba wakiinuliwa sana, watataka kujitenga. Wee si unaona hata kibano kilianzia kwenye elimu, pass mark za mkoa wa Kagera ziko juu kuliko mikoa yote.
 
Sasa kaka kila mwaka wanapat bilioni 53, miak yote hiyo wakashindwa kujenga hata stendi ya maana!!?
Mumekomalia stendi tu, hata hivyo hajasema kila mwaka wanapata billion 53, hiyo hella itapatikana baada ya kuanza kuuza madini ya NICKEL, ndiyo maana wahaya wanapinga kumega kagera, kwa sababu hayo mapato yote yatabaki kagera.
 
Mkuu umesoma vizuri kilichoandikwa, we unasema hiyo hela itaanza kupatikana kwa kuuza nickel, wakati imeandikwa ni hela inayopatikana kwa mauzo ya dhahabu,

Soma tena.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom