mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,383
- 1,552
Miaka yote wameshindwa hata stendi ya mabasi,bora ziende kusaidi wengine, viongozi wa mkoa wa kagera ni Mafisadi tu, mkoa unazidi kuwa masikini pamoja na kuwa na lasmali za kutosha,kuna mto mkubwa kagera,ziwa Victoria,lkimba na Burigi,kuna mazao ya biashara kibao,miwa ,kahawa ndizi miogo,mabonde ndio usiseme, sasahivi wasukuma wengi wameamia kagera kulima mpunga,alafu eti miongoni mwa mikoa masikini,ujinga mtupuYanasaidia ujenzi wa miundo mbinu, ikitokea bajeti fulani na mkoa kafanya vizuri kwa makusanyo kuna pesa inabaki kusaidia kuondoa umaskini kuliko mkoa usiozalisha kitu.