Kagera: Kilichonifurahisha jana ni wagombea 3 wa CCM kujiuzulu asubuhi

Jana majira ya asubuhi kabla kura hazijapigwa katika kata ya Kibeta manispaa ya Bukoba waliokuwa wagombea kupitia CCM katika vijiji vitatu walijiudhuru asubuhi hyo na kufanya wagombea wa CHADEMA kupita bila kupingwa na wasimamizi wakarudisha vifaa kwa msimamizi mkuu.

Kwa kweli Bukoba CCM imekuwa bidhaa adimu sana. Mitaa karibia yote manispaa wamebeba UKAWA.

Unajua kilicho fanyika Huko Nyakiziba Wilaya ya Ngara, huyo mtendaji wa kata ni wa ccm, walipo toa form za kujaza akawaelekeza wagombea wote kujaza vibaya hizo form baadaye akawaita wale wa ccm akazirekebisha, halafu wale wa Chadema akawa wekea pingamizi, ndipo wakasema kuwa wamepita bila kupingwa, wananchi waka waeleza wale wenyeviti wa ccm walio pita bila kuingwa kuwa wakatafute watu wa kuwaongoza, ila sio kwenye vitongoji hivyo maana wao hawaja wachagua, wakienda kwenye nyumba yoyote kudai chochote, atakutana na Panga au Mshale. Ndiyo maana wale jamaa wakaona huu mziki mkubwa sana wakatangaza kuachia ngazi. Chezea wahangaza wewe. NGARA ccm wameangukia pua
 
Wahaya na ujanja wao wote wanaichagua Chadema? Nimewashangaa sana

Kwenu kilindi ndo mkategemee miteremko na si kwa wanaojitambua,pigo moja meno yote hamna pigo la pili si mtaukimbia uchaguzi kama ebora
 
Stupid comment

Basi usipanic mtu wangu ila lazima tuwatoe hata kama hili si zuri sana masikioni mwenu that is politics,the art of possible and to throw you to hell is what is simply possible and agreeable to the commons of the land.
 
hali ni mbaya sana kwa magamba

vua gamba uvalishwe gwanda

gamba.jpg gamba.jpg
 
Rudieni tena kusoma huu uzi kabla hamjaendelea kusherehekea. kisa cha hao watu kujiuzulu ni kwa sababu wagombea wa ukawa waliwekewa pingamizi. kwa maana ingine ni tayari walishapita bila kupingwa kama chama cha escrow account kinavyoendeleza hujuma sehemu mbalimbali nchini. wao wanataka kuchaguliwa na wananchi ili wawe tayari kuwaongoza.
naona ni superstar1ndo aliyeelewa mada husika. wengine wote zero.
kwa vichwa vya aina hii kazi tunayo.

Jana majira ya asubuhi kabla kura hazijapigwa katika kata ya Kibeta manispaa ya Bukoba waliokuwa wagombea kupitia CCM katika vijiji vitatu walijiudhuru asubuhi hyo na kufanya wagombea wa CHADEMA kupita bila kupingwa na wasimamizi wakarudisha vifaa kwa msimamizi mkuu.

Kwa kweli Bukoba CCM imekuwa bidhaa adimu sana. Mitaa karibia yote manispaa wamebeba UKAWA.

Hata wangegombea wasingepita moto wa UKAWA umekuja kivingine awamu hii yaani huko Misenyi kwa Asumpta Mshama ukawa wamechukua almost 90%

tih tih nacheka tu hapa

Hali ni mbaya sana kwa magamba

Safi sana Manispaa yetu inarud kwao sasa

raha jipe mwemyewe
chazea mdee wewe

!
!
delete, futa kabisa ccm katika memory card yako. Format kabisa, ukiona vipi tupilia kule device iliyowahi kuhifadhi ccm.

Nadhani neno sahihi ni KUJIUZULU

Lakini ujumbe umeupata mwanaCCM mwenzangu!
 
Kwenu kilindi ndo mkategemee miteremko na si kwa wanaojitambua,pigo moja meno yote hamna pigo la pili si mtaukimbia uchaguzi kama ebora

SASA HIVI IANZISHWE KAMPENI MAALUM ...YA " kataa WALIOPITA bila KUPINGWA kwa Hila ".... Wasipewe ushirikiano na wahamashwe mitaa ..wakawaambie wakurugenzi wawape wake Zao wawatawale

WANANCHI wa Kiteto KAMBI ya Chokaa wameonesha Njia ...WAMEMTAWAZA wanayemtaka....
Karagwe wakafuatia wakawatimua WALIOPITA bila KUPINGWA kwa Hila
Tabora walienda mbali Zaidi ...ambapo hatupendi tufike Huko na isijirudie ..kwa Yule mwenyekiti aliyepata bila KUPINGWA alivyoofanywa
 
Hata wangegombea wasingepita moto wa UKAWA umekuja kivingine awamu hii yaani huko Misenyi kwa Asumpta Mshama ukawa wamechukua almost 90%

Naomba data kamili tafadhali... Huyu mama anajiita Mbunge wa Nkenge ametuabisha sana... Nimepata za Kanyigo tu...
 
Wahaya na ujanja wao wote wanaichagua Chadema? Nimewashangaa sana

Olwaile amagezi iwe... Tuendelee kulea majizi na bashuma lunkunku - (Majambazi.... ) Na bado subiri kwenye Karatasi lenu la Chenge.... Mtashangaa sana.... Mpola Boojo. (Kama hukuelewa muulize Asumpter)
 
Ukombozi wa hii nchi kutoka mikononi mwa genge la wezi mccm unakaribia. makamanda tukaze buti we are near to finalize deleting mccm completely.
 
Hapa mwenyekiti JK, pale Makamu mwenyekiti Mzee Mangula, Pale Katibu mkuu Kinana hapa mwenyezi Nape.
Je, hawa watu wamejenga chama au miezi iliyobaki huenda wakakibomoa kabisa!?
Na je, yale maigizo ya kubeba tofali na kupanda baisikeli ndio yanaipeleka kuzimu ccm!?
Wananchi hawapendi maigizo wanataka reality shows na asiyejua hilo atakuwa amewasoma sasa.
 
Back
Top Bottom