KAGERA: Kanisa Katoliki Kigango cha Nyarwele lateketea kwa moto

Donatila

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,563
21,665
KANISA LAUNGUA: Kanisa Katoliki Kigango cha Nyarwele Jimbo la Kayanga mkoani Kagera lateketea kwa moto, chanzo hakijajulikana, Padre N. Rutahiwa athibitisha.
 
Back
Top Bottom