Kagera day ni balaa----this should be done for all mikoa..etc

BigMan

JF-Expert Member
Feb 19, 2007
1,096
135
Uchangiaji fedha katika siku ya Kagera day ni vituko tupu.
kiasi cha shilingi Bilioni 1.4 zilichangwa mbele ya Lowasa ikiwa nipamoja na zawadi.

- Prof. Rweikiza wa Marekani- Sh. milioni 500.

-Prof.Rutashobya wa Chuo kikuu cha Havard-Milioni 400.

-Prof. Rweyimamu wa Afrika Kusini hakuweza kuja lakini ametuma hundi ya USD 200,000.

-Prof. Rwebangira yeye amemtuma mkewe Kokushubira na yupo na Cash ya Milioni 150,000 kwa kuwa alichelewa ndege ifwakti akitokea kutoa matibabu Canada kwa mgonjwa anaye mhudumia huko.

-Prof. Kokubenza ambaye alituma ujumbe wa simu na amedai kuwa ameshikwa na mafua amesema hakuna tatizo hatumwe mtu aende London akachukue Milioni 450.

-Dk. Kagirwa huyu alikuwa Mzumbe miaka ya 90 lakini sasa yupo chuo Kikuu cha Oxford amesema atatoa milioni 300.
-Dk. Muganyizi ametoa milioni 200.

-Dk. Mchunguzi ambaye sasa anamalizia Reseach yake ili aupate Uprofesa amesema yeye na mkewe ambaye ametunukiwa PhD juzi hapo mlimani pamoja na mtoto wa Rwechungura atatoa milioni 200.

-Wengine wengi kama akina Katabazi, Kavodago, Kaceritale, Kazenitalema, Katalyeba na akina Kokushuma wao wametoa kiasi kidogo na wao wamekaa kule nyuma wametoa cash milioni kati ya 50 na 90.

Pia waheshimiwa wa jambo hawa wengine mlikuwa nao Masters walionekana elimu bado ndogo sio sawa na akina Rwegasira
 
Wahaya kwa mijisifa inawezekana!!! Mkoa kama kilimanjaro!! Du! Wachaga na wapare!! Ubahili na biashara nani atakubali kula mtaji?!
 
Haya majamaa hizo hela wanazipata wapi? Inawezekana WEZI au kama alivyosema Nesindiso hapo juu. MISIFA TU yawasumbua.
 
Hongereeni wajukuu zangu. Nawaomba kitu kimoja nyie Nshomile. Tafadhalini jengeni chuo kikuu babu kubwa mkoani Kagera. Hicho chuo kibobee katika mambo ya sayansi na teknolojia, udaktari wa watu, biashara na uchumi na sayansi ya siasa.
 
nakugambire heri ndani niitwe stupid nawifu misfa niipate uwekezaji wa elim nimhim kuliko maduka kariako
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom