KAGERA:Bweni limeteketea na moto huku chanzo hakijajulikana


SniperBoi

SniperBoi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2016
Messages
1,110
Likes
1,101
Points
280
SniperBoi

SniperBoi

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2016
1,110 1,101 280
Bweni la wavulana katika shule ya sekondari ya Tweyambe inayomilikwa na shirika la maendeleo la TIDESO wilayani Missenyi Mkoani Kagera limeteketea kwa kuungua moto ,huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana .Kwa mujibu wa makamu Mwenyekiti wa shirika hilo Mwalimu Habibu Mwijage hakuna mwanafunzi aliyedhurika kutokana na moto huo ambapo wakati ukitokea wanafunzi wote ishirini na sita wanaotumia bweni hilo walikuwa katika vyumba vingine vya masomo ya ziada

chanzo star tv
 

Forum statistics

Threads 1,273,086
Members 490,268
Posts 30,470,815