instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 11,381
- 14,186
Uzi unalengo la kuwaonesha watanzania wengi ambao hawajawahi kufika au wanausikia mkoa wa kagera na vijiji vyake wafike walau Kwa picha . Vijiji vya mkoa wa kagera vinasifa ya kuwa na migheto mikali ijengwayo na wasomi na PhD holders kutoka huko ambao ndo wengi.wahaya hawajengi ipasavyo mji mkuu wa mkoa wao bukoba Bali huko wazaliwako vijijini ndani ndani huko hata barabarani ni ngumu kuziona.hivyo basi namkaribisha mtu yoyote wa mkoa huu na aufahamuyo mkoa alete migheto iliyopo huko migombani ili kuwadhihirishia watanzania wanaokaa huko tandale kuwaponda Tu .wakati reality ipo .hatutaki battle za kikabila hapa.lengo ni kudumisha utalii na kuwaonesha watu faida za elimu na kujali chimbuko lenu karibun.Tuanzie hapaView attachment 1003870
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app