Kagera/bukoba villages gallery

instanbul

JF-Expert Member
Jun 26, 2016
11,381
14,186
Uzi unalengo la kuwaonesha watanzania wengi ambao hawajawahi kufika au wanausikia mkoa wa kagera na vijiji vyake wafike walau Kwa picha . Vijiji vya mkoa wa kagera vinasifa ya kuwa na migheto mikali ijengwayo na wasomi na PhD holders kutoka huko ambao ndo wengi.wahaya hawajengi ipasavyo mji mkuu wa mkoa wao bukoba Bali huko wazaliwako vijijini ndani ndani huko hata barabarani ni ngumu kuziona.hivyo basi namkaribisha mtu yoyote wa mkoa huu na aufahamuyo mkoa alete migheto iliyopo huko migombani ili kuwadhihirishia watanzania wanaokaa huko tandale kuwaponda Tu .wakati reality ipo .hatutaki battle za kikabila hapa.lengo ni kudumisha utalii na kuwaonesha watu faida za elimu na kujali chimbuko lenu karibun.Tuanzie hapaView attachment 1003870
tapatalk_1548355931106.jpeg
FB_IMG_15482253361907677.jpeg
tapatalk_1548355920966.jpeg
1ppp.jpeg
Screenshot_20181128-122704.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • tapatalk_1548355931106.jpeg
    tapatalk_1548355931106.jpeg
    73 KB · Views: 215
Ukiwa nankwende ndani kule, utaambiwa dar kuzuri sana, majumba makubwa kabisa yako dar, ila haimaanishi kuwa dar nzima kuna majumba mazuri, hapana, hata nyumba za hovyo zipo, tena hovyo.
Kwahiyo hata hizo picha si kweli kuwa huko kagera nyumba zote ni tamu.

Kagera inazidiwa na Kigoma.
 
Ukiwa nankwende ndani kule, utaambiwa dar kuzuri sana, majumba makubwa kabisa yako dar, ila haimaanishi kuwa dar nzima kuna majumba mazuri, hapana, hata nyumba za hovyo zipo, tena hovyo.
Kwahiyo hata hizo picha si kweli kuwa huko kagera nyumba zote ni tamu.

Kagera inazidiwa na Kigoma.
Anzisha Uzi wako upasifie huko kigoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wakat wa tetemeko picha za bukoba hazikuwa hivi...mimi nilikuwa huko wiki 2 zilizopita sikupata muda wa kutembea sn...ila mazingira ya shule ya Kaizirege ni mazuri sn
Hukwenda vijijini hukaona maajabu.halafu nyumba nyingi zilizoangushwa na tetemeko zilikuwa za zamani na bukoba mjini ndo iliathirika vibaya hasa mitaa mikongwa ya mji huo.ndo maana hata shule ya ihungo iliporomoka yote kisa uzeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom