kagawa kuikataa jezu namba 7 JE NI UWOGA??

tara

Senior Member
Jun 5, 2012
189
61
Kagawa amefunguka nakusema haitaki jezi namba saba,anaitka jezi namba 8,26 au 29,je huku ni kukimbia presha ya mashabiki kutokana na kuvaaa popular jezi haf kutoitendea haki jezi hiyo??.historia inaonyesha hiyo jezi imevaliwa na mashujaa kibao wa man u kama david beckham,erick catona,cristian ronldo,george best(ukimwondoa owen) na wote walikuwa na mafanikio kwa timu na wao binafsi.sipati picha mechi ya kwanza na everton.
 
Ametoa maelezo ya kueleweka kabisa katika suala la jezi na si suala la woga.
 
Back
Top Bottom