Kagasheki: Vigogo wanahusika biashara ya pembe za ndovu

inaonekana kinana ni mwizi mkubwa hapa duniani ...tunaomba intelijensia ya CDM imfatilie huyu ili watanzania wengi waju
 
Kagasheki pumba hatutaki tena tunataka actions...taja vigogo hao kamata mara moja tia ndani... Hapo ndo tutajua umefanya kazi...anza na wenzako maana vigogo ni ccm...
 
kigogo wa kwanza ni kinanda haiwezekani ana kampuni ya meli asijue amebeba nini,huyu ni mzoefu kwenye hii deal ya pembe za ndovu!!!napata uchungu sana ninapomuona mtu anayeshabikia haya magamba bila kujua muda si mrefu watoto wetu watamsoma tembo kama historia kama ilivyo kwa wale dinosor!!
hivi ndo huyo kiongozi mpya anayepeleka chama kwenye uongozi 2012?
 
...hadi kontena linatoka Tanzania liaenda-kukamatiwa China hii mijitu tunayoiita USALAMA WA TAIFA iko wapi?,MWEMA,KOVA na taarifa za kiiterejensia wako wapi?...mod tafadhali katika mambo kama haya yanayokera sana,tunaomba uwe unaturuhusu "tumwage nyongo" (tuitukane hii mijitu) japo kidogo kwa sababu za kiafya...kweli inawezekanaje jitu kubwa kama kontena hawa wapumbavu tunaowaita usalama wa taifa wanashindwa kuliona,je wataona nini ili taifa liwe salama?...
 
Sidhani kama tutafika kwa staili hii. Nna wasi wasi hii migao inafika mpaka kule juu kabisa manake haiwezekani watu wajitendee mambo kama vile hakuna dola wala serikali
 
Hapo lazima JK, Kagasheki na vigogo wengine wana gawio lao. Haiwezekani upuuzi wa hali ya juu hivi ufanyike bila JK kujua wakati ana vyombo vykumfanya ajue. Tembo zaidi ya 200 wanauawa usalama wa taifa hawana habari!!! Wale twiga waliotoroshwa na ndege ya Qatar? Hawakujua kuna tatizo? Lazima wanajua kinachoendelea na kwa vile yalibebwa kwenye meli ya katibu mkuu wa ccm ni dhahiri hawa vigogo wa ccm wanajua dili hili au ni wahusika moja kwa moja. Kama walichota fedha EPA, kuficha mabilioni nje, kuingiza nchi gizani ili wapate tenda za Tanesco, kuleta richmond na kashfa zingine kibao. Cha ajabu ni nini?
Hii nchi inaongozwa na waendawazimu.
 
Hapa Mkuu umenikumbusha niliwahi kutoa tadhari kuwa Prof. Muhongo yatamshinda sasa keshapoata doa kabla hata ya muda wa kutosha. Halafu pia umenikumbusha kuhusu Prof. Mama Tibaijuka naye aliingia na gear kali ya kutaka hata kurejesha open spaces zilizovamiwa na kuuziwa wafanyabiashara. Nakumbuka alikuja na slogan safi kuwa kama ni senti ya kula anayo na hategemei kuhongeka, au sijui niliisoma vibaya? Ila sasa yuko kimya labda anachapa kazi! Sina sababu ya kukata tamaa sana labda tungojee tuone. Loh! Tanzania, nchi yangu inashangaza ndugu zangu. Isije ikawa ni matokeo ya nchi iliyopatikana kwa muungano wa kusadikika ambao mfano wa pili duniani haupo? SITAKI iwe hivyo!

umenichekesha hapo kwa mama Tiba. nadhani alikuwa hajui kama open spaces zimevamiwa na chama chake na makada vigogo! siku hizi kimyaaa anasubiri muda wake 2015!
 
Kama sisi sio wajinga basi tumeushushia hadhi ubinadamu. Nchi inaliwa na watoto wetu hawana cha kurithi tena
 
sasa kama umeshaambiwa mzigo kampuni yake ilshaukagua na ikaona kabisa hapo kuna alizeti sasa kosa liko wapi hapo?? na TRA wamekagua wakaona ni alizeti sasa kosa liko wapi hapo?? meli ya kwanza ilikamatiwa hongkong kweli ilikuwa meli ya kinana naye alikiri hilo miezi mingi iliyopita lakini hili la pili meli iliyokamatwa meno yakiwa na alizeti meli siyo yake jamani eleweni meli iliyokamatwa si ya kinana ni ya kampuni ya dubai sasa kama ni hivo mnavyosema basi uongozi wa dubai nao ni wa kulaumiwa mana ni wazembe kama TRA wetu hapa mana makontena yalishushiwa dubai yakapakiwa kwenye meli nyingine hapo dubai na ukaguzi ukafanywa hapo dubai sasa basi mamlaka za dubai nao wazembe kama zilivyo mamlaka za bongo!!.

Basi na mamlaka ya dubai inahusika pia na hili la kusafirisha meno ya tembo!! narudia tena meli iliyobeba mzigo dubai ilikuwa ni 2nd transporter ina maana nao ni wazembe kupakia mzigo wasoujua ndani kuna nini?? na TRA ya dubai nao ni wazembe kwa kuruhusu mzigo kama huo kushushwa na kupakiwa ndani ya dubai??
Eleweni hiyo meli ya dubai ilikagua mzigo na mamlaka za dubai zilikagua mzigo pia zikauruhusu uondoke,mkae mkijua mzigo wenyewe ulifichwa sana si rahisi kuujua labda mtu akuchome kwa watu au interpol ndio unaweza kujua kuwa ndani kuna nini hivi hivi bila fore-knowledge huwezi kuhisi kitu chochote kile.

musilete vitu sababu ya chuki kisa yuko ccm basi kila kitu anatupiwa yeye na uliza tena mbona GODBLESS LEMA ni haramia anayepora magari ya wa2 na kuuza madawa ya kulevya mbona ccm hawaisemi vibaya cdma kwa hilo??
kinana hana makosa yeyote yale ni chuki zeenu tu hizo kisa yuko ccm,au sababu yeye ni muislamu na GODBLESS LEMA ni MCHUNGAJI??????
 
Barozi Kagasheki acha kujipa stress bure, hauna uwezo wa kupambana na kinana bwana.
 
Inaonekana haulewi mtandao wa uhalifu ulivyosambaa duniani wewe, alafu unapotuuliza kama dubai nao ni wazembe unamaanisha nini??
 
Hivi ni mwananchi wa namna gani asiyejuwa kwamba Kinana kwa kushirikiana na baadhi ya wasomali wenzake ndio Majangili wakubwa katika mbuga zetu???? Nakumbuka sana wakati nipo JKT Oljoro, miaka ya 80's, kulikuwa na maafande ambao kila Ijumaa walikuwa wanakwenda mbugani kuwinda tembo kwa maagizo ya huyo jamaa. Ukweli ni kwamba hata huyo Kagasheki analijua hilo. Na wala hata thubutu kuwachukulia hatua kwa sababu anaujua moto wake.

Mara ngapi pale kwenye mbuga ya Saadani tumeshuhudia wasomali wanao ingia kwenye ile hifadhi kwa kutumia jina lake na kuua nyara za serikali na kuondoka nazo kwa kupitia baharini!!!! Kama kawaida yao, ukweli wanaujua lakini nani achukuwe hatua wakati wote WAMEOZA?????
 
acheni utoto nyie kwani uiwa na dala dala yako ikakamatwa kwa kuiba route au kuvunja sheria yeyeote barabarani unatakiwa ukamatwe au kuhukumiwa wewe?heb tuache ushabiki na tuwe fair sometimes

Kuna wakati JK alisema anataka kutenganisha SIASA na BIASHARA sijui hii kauli iliishia wapi, ama ilikuwa sehemu ya mipasho...
 
Nape anlalamika,Kagasheki ana lalamika,Kikwete analalamika nani wakuchukua hatua?
 
Hapo lazima JK, Kagasheki na vigogo wengine wana gawio lao. Haiwezekani upuuzi wa hali ya juu hivi ufanyike bila JK kujua wakati ana vyombo vykumfanya ajue. Tembo zaidi ya 200 wanauawa usalama wa taifa hawana habari!!! Wale twiga waliotoroshwa na ndege ya Qatar? Hawakujua kuna tatizo? Lazima wanajua kinachoendelea na kwa vile yalibebwa kwenye meli ya katibu mkuu wa ccm ni dhahiri hawa vigogo wa ccm wanajua dili hili au ni wahusika moja kwa moja. Kama walichota fedha EPA, kuficha mabilioni nje, kuingiza nchi gizani ili wapate tenda za Tanesco, kuleta richmond na kashfa zingine kibao. Cha ajabu ni nini?
Hii nchi inaongozwa na waendawazimu.

Hivi lile suala la twiga waliobebwa kwenye ndege ya jeshi kwenda Oman kupitia KIA limeishia wapi,
 
Vigogo wakikamatwa nchi itayumba........! Vigogo wana nguvu ndani ya CCM; Kagasheki aangalie yasije mpata ya MAIGE.
 
sasa kama ni kigogo sisi tufanyeje?, si anamjua achukue hatua...! Kagasheki nae ni jamii ya JK tu umepewa mamlaka nawe unakua gazeti la udaku badala ya kufanya kazi, ama kweli hiki ni kiazi kingine SHAME ON U KAGASHEKI.
 
Hizi scandal ccm mbona hamkomi?alafu mnawaletea wanachama wenu hawa wezi ndo wawe viongozi wao ...heri yenu wanachama
 
ccm yazidi kujimaliza na kujithibitisha kwamba ni chama cha mafisadi
inaonekana kinana ni mwizi
mkubwa hapa duniani ...tunaomba intelijensia ya CDM imfatilie huyu ili
watanzania wengi waju
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom