Elections 2010 Kagasheki kugombea au kutogombea tena 2010?

Una maanisha nini hapa? Maana wewe mwenyewe umesema anataka ubalozi sasa hapo kama si kuhama tu sehemu lakini kubaki kwenye uongozi ni nini?
Mkapa alikua raisi, the highest post, whichh means he had no where else to go but down kama angeamua kutafuta nafasi nyingine. Na uraisi una terms siyo kama ubunge sasa hata angetaka kugombania tena nani ange mruhusu?

?????? Wewe nani kakuambia nataka kugombea hilo jimbo? Habari hizo nasikia kwako wewe unasema wameni pakazia, wakina nani wameni pakazia unaweza kufafanua? Wapi umesikia nataka kugombea huko na umeambiwa na nani?

- Mkapa alijaribu kutafuta term ya tatu, cabinet wakamtolea nje hasa Mwandosya na Sumaye,

- Kama hukuwa na mpango wa kugombea hamna noma mkuu.

Respect.

FMES!
 
Kwa ufafanuzi, wewe ndio mnafiki kama umesahau nakukumbusha.

Malecela anakila sababu ya kung'atuka, labda arithishe mabint zake, yeye yuko kwenye senescence sasa.

Uache hizo 'asante zako za kinafiki'. Hazina mshiko wala mvuto.

- Mkuu nitashukuru sana kama utaweka sababu za unafiki wangu hapa wazi! Halafu uweke sababu za wewe kutokua mnafiki pia!

- Kuhusu Malecela, bado ni mbunge mpaka 2010, ya kurithisha siyajui, halafu vipi tena unataka kuniamulia nini cha kuandika wewe ni nani humu ndani mpaka utoe amri za member wengine waandike unavyotaka? Au wewe ndiye mmiliki wa hii forums?

Ahsante Sana.

William.
 
Bora lakini siyo king'ang'anizi kama wengine. Tungoje tuone sasa kama hata gombea kweli maana Msekwa nae hivyo hivyo akasema anastaafu nikashanga mu yupo kwenye kinyang'anyiro cha uspeaker.

Vivyo hivyo na Mh. Ziro alimpa ruhusa Nagu lakini baada ya muda likazuka bifu la kufa mtu au Kingunge naye alivyotutangazia lakini kumbe alikuwa anapanga kuingia kwa mlango wa dharura. Kwani kama kweli umeona unastahili kupumzika kwa nini huwezi kumwambia Rais kuwa uamuzi wako ni huo na kwamba wapo vijana chungu tele ambao wanahitajika kulitumikia wakiwa bado na damu changa.

Kama kweli Kagasheki ameamua kustaafu Ubunge mimi nampongeza sana na nashauri Malechela, Kingunge na wazee wengine wapishe damu changa nayo ilitumikie taifa. Lakini namasa Kagasheki astaafu pia na kuwachapa makofi askari (JK)
 
Mnafiki huyo baharia usimwamini, ana mid age crisis basi hujifanya much know kutafuta recognition.

- This is hillarious, eti mkuu nini maana ya Mid-Age crisis ni nini ambayo wewe huna?

- Kutafuta recognition? Ili? hahahahahahhaaaa! inafurahisha sana! naona pantaka kuwa patamu hapa!

Ahsante.

William.
 
Kama kweli Kagasheki ameamua kustaafu Ubunge mimi nampongeza sana na nashauri Malechela, Kingunge na wazee wengine wapishe damu changa nayo ilitumikie taifa. Lakini namasa Kagasheki astaafu pia na kuwachapa makofi askari (JK)

- Kingunge sio mbunge wa kuchaguliwa ila ni wa kuteuliwa na rais, marekebisho tu kidogo, Malecela bado wananchi jimbo lake tunaridhika na kazi yake na sheria iko wazi kwamba hakuna limit ya kugombea ubunge.

Ahsante.

William.
 
Bila shaka Kagasheki amesoma alama za nyakati.

Si siri Wilfred Lwakatare wa CUF anakubalika zaidi Bukoba mjini kama si nguvu za dola kutumika vibaya Bwana Kagasheki asingekuwa mbunge.
Kustaafu ni utashi wa mtu binafsi, haliusiani na nguvu ya chama ama udhaifu wake katika jimbo husika.

Kwa taarifa tu, jimbo hilo litaendelea kubakia kwa CCM
 
- This is hillarious, eti mkuu nini maana ya Mid-Age crisis ni nini ambayo wewe huna?

- Kutafuta recognition? Ili? hahahahahahhaaaa! inafurahisha sana! naona pantaka kuwa patamu hapa!

Ahsante.

William.

Umejuaje kama wewe ndio una mid age crisis? Lazima unayo ndio maana unajishuku shuku.

Malecela kachoka, afuate nyayo za kina Kagasheki wanaojitoa na kuwaachia wengine. Malecala anataka kufanya ubunge kuwa ndio lifetime achievement yake wakati hana impact kwa jamii yake. Lol.
 
- Ya midage crisis umeyasema mwenyewe sasa unabadili tena kwamba hukusema na yapo hapo juu vipi mkuu? Ninakuuliza maana yake ni nini hasa maana jamaa anayo a very good life tena super, sasa hivi ndio kwanza anajitayarisha kuepeleka watoto na familia yangu kwenye mbuga za wanyama kama kawaida kila mwaka, summer ndio maana ninakushangaa na hayo maneo yako ya age crisis maana yake ni nini hasa? ukihitaji kazi anaweza kukuajiri mkuu!

- Ya ubunge wa Malecela sioni hoja ya maana kwa hiyo sitayajibu tena, ni yale yale ya JF na Malecela, malecela and Malecela saafi sana.

anyways sasa ni saa ya kuwahi kazini, later bro!

Ahsante.

William.
 
- Msekwa alisema hagombei tena ubunge na hajagombea mbona unachanganya facts kwa makusudi?

- La ung'ang'anizi una maana kama Kagasheki ameishiwa hela za kununua ubunge, basi wengine wote ambao hawakununua ubunge nao wajitoe kama yeye? Mkapa hakuwa king'ang'anizi akaachia urais kilichobadilika ni nini hasa?

- Halafu vipi zile mbio zako za kugombea hilo jimbo au jamaa walikuwa wanakupakazia tu?

Respect.

FMES!

Mkuu FMES,
kumbukumbu zako zikoje? Msekwa alisema hatagombea uspika pia na ndicho kwa kiasi kikubwa kilichomuangusha alipogombea na SS kwenye mchujo wa ccm baada ya kula matapishi yake.
 
- Ya midage crisis umeyasema mwenyewe sasa unabadili tena kwamba hukusema na yapo hapo juu vipi mkuu? Ninakuuliza maana yake ni nini hasa maana ninayo a very good life tena super, sasa hivi ndio kwanza ninajitayarisha kuepeleka watoto na familia yangu kwenye mbuga za wanyama kama kawaida kila mwaka, summer ndio maana ninakushangaa na hayo maneo yako ya age crisis maana yake ni nini hasa? ukihitaji kazi ninaweza kukuajiri mkuu!

- Ya ubunge wa Malecela sioni hoja ya maana kwa hiyo sitayajibu tena, ni yale yale ya JF na Malecela, malecela and Malecela saafi sana.

anyways sasa ni saa ya kuwahi kazini, later bro!

Ahsante.

William.

Blah blah as usual, no substance. Kupeleka watoto mbuga za wanyama hakukuexempt kuwa kwenye mid-age crisis! Asiyejua maana haambiwi maana! Kaa hivyo hivyo kalaghabaho.

By the way usisahau kumchukua Malecela kwenye trip yako ya kutembelea mbuga za wanyama. Huko unaweza kwenda naye faragha na kumpa ujumbe kwamba 'ubunge sasa basi'.

Hiyo asante haitakufanya uonekane una nidhamu siku hizi. Wewe ni problem kid.
 
Mkuu FMES,
kumbukumbu zako zikoje? Msekwa alisema hatagombea uspika pia na ndicho kwa kiasi kikubwa kilichomuangusha alipogombea na SS kwenye mchujo wa ccm baada ya kula matapishi yake.

- Msekwa alisema hatagombea ubunge tu, sio u-Spika, ninaifahamu vizuri sana hii habari mkuu.

William.
 
Blah blah as usual, no substance. Kupeleka watoto mbuga za wanyama hakukuexempt kuwa kwenye mid-age crisis! Asiyejua maana haambiwi maana! Kaa hivyo hivyo kalaghabaho.

By the way usisahau kumchukua Malecela kwenye trip yako ya kutembelea mbuga za wanyama. Huko unaweza kwenda naye faragha na kumpa ujumbe kwamba 'ubunge sasa basi'.

Hiyo asante haitakufanya uonekane una nidhamu siku hizi. Wewe ni problem kid.

- Malecela akimaliza Busanda anaeleka UK na US, wakati familia ya jamaaa itakua mbungani.

william.
 
Wakulu,

Ni heshima kufa ukiwa kiongozi na hilo ndilo limo miongoni mwa wazee ving'ang'anizi wa maradaraka,Watu wanadhani walizaliwa kuwa viongozi wa milele,Mie naona Mzee Malecela Amechoka anhitaji kupumzika na kubaki kuwa Mshauri tu.

William kama unaweza msaidia mzee wako chukua fomu au mtu mwingine,Haiwezekani kusema kuwa kila mtu anaridhika na utendaji wa Mze Malecela!

sina ugomvi na mzee huyu,ninafahamu utendaji wake ila imefikia wakati akaamuua kupumzika tu
 
- Malecela akimaliza Busanda anaeleka UK na US, wakati familia ya jamaaa itakua mbungani.

william.

Anaendelea kutumbua pesa za ufisadi au walipa kodi.

Familia ya jamaa nani tena kama sio yako? Ndio tabu ya kutumia majina mawili, unaona sasa unanyojichanganya bwa ha ha ha ha ha ha ha haaaaa.
 
Anaendelea kutumbua pesa za ufisadi au walipa kodi.

Familia ya jamaa nani tena kama sio yako? Ndio tabu ya kutumia majina mawili, unaona sasa unanyojichanganya bwa ha ha ha ha ha ha ha haaaaa.

- Hapana ningekuwa ninatumia jina la Mujungu kweli,anayetumia majina mengi si unamjua vizuri, peleka uchizi wako huko! Bwa~! ha! matatizo ya misha yako sio mimi mkuu ni yako mwenyewe sasa deal nayo mwenyewe! Bwa! ha! ah?

FMEs!
 
"Kagasheki atangaza kung'atuka 2010"

Wazee,

Hivi hapa nani ni mnafiki?
Katika post hizo ni tatu au nne tu zenye kufuata thread hii...!

Wengine wote Wanafiki-Miugomvi yenu mpeleke kwingine!
 
- Msekwa alisema hatagombea ubunge tu, sio u-Spika, ninaifahamu vizuri sana hii habari mkuu.

William.

Nadhani sote hatujasahau, ni kweli alisema hatagombea. Jikumbusheni kwa kutembelea link hapo chini:

Licha ya awali kuutangazia umma kwamba hataki tena kazi ya uspika katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bw. Pius Msekwa amegeuka tena na kusema hawezi kuiachia nafasi hiyo baada ya kuombwa kuendelea kulitumikia Bunge.

Msekwa: Hakuna kustaafu
 
Back
Top Bottom