mr mkiki
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 5,583
- 11,659
Hakuna anaekujua zaidi yako wewe mwenyewe. Mlinzi wa afya yako ni wewe mwenyewe. Ukidhurika utahangaika mwenyewe. Pigo litakua kwako na familia yako mwenyewe.
Coronavirus bado ipo. Dawa yake kwa sasa haipo. Isikilize nafsi yako na fuata sayansi na wataalamu.
Kwa lugha nyingine wewe ndiye RAIS wa MAISHA yako PERIOD. Hakuna narudia hakuna wa kukuamlia juu ya AFYA/MAISHA yako.
Wanataka mtu asiyefikiri wala asiye na uhuru wa kutoa maoni tofauti na waliyonayo wafalme wa nchi. Mfalme akisema, huruhusiwi kusema baada yake. Eti ni utovu wa nidhamu.
Ukweli utatuweka huru
Mr mkiki.
Sent using Jamii Forums mobile app