Kagasheki: Corona virus bado ipo, dawa yake kwa sasa haipo. Isikilize nafsi yako na fuata sayansi na wataalamu, mwanasiasa achana nae!!

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,850
2,000
Hakuna anaekujua zaidi yako wewe mwenyewe. Mlinzi wa afya yako ni wewe mwenyewe. Ukidhurika utahangaika mwenyewe. Pigo litakua kwako na familia yako mwenyewe.

Coronavirus bado ipo. Dawa yake kwa sasa haipo. Isikilize nafsi yako na fuata sayansi na wataalamu.

Kwa lugha nyingine wewe ndiye RAIS wa MAISHA yako PERIOD. Hakuna narudia hakuna wa kukuamlia juu ya AFYA/MAISHA yako.

Wanataka mtu asiyefikiri wala asiye na uhuru wa kutoa maoni tofauti na waliyonayo wafalme wa nchi. Mfalme akisema, huruhusiwi kusema baada yake. Eti ni utovu wa nidhamu.

Ukweli utatuweka huru


Mr mkiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dec 27, 2020
45
125
Kama ipo basi turudi Tena makanisani na misikitini tukaombe tena maana kupitia njia hiyo iliondoka.
Taifa likafanya uchaguzi kwa kampeni zenye mikusanyiko mikubwa ya watu, watoto wetu walirudi shule na shughuli nyingine nyingi zimeendelea kama Kawaida katika taifa letu tofauti na mataifa mengi ulimwenguni.
In God we trust.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom