Kagasheki awaita Madreva wa Pikipiki na Taxi Bukoba ili Wasimpokee Slaa!!

Ndugu acha uongo wako hapa kuhusu lengo la kikao hicho!
Labda kama unaongeza thread tu
Mimi natoka kwenye kikao hicho,nilikuwepo mwanzo hadi mwisho,kikao hicho hakikuwa cha agenda hiyo,Kilikuwa cha waendesha pikipiki wakijadioli hatima yao kuhusu mambo ya leseni za biashara na matatizo yao na polisi na wameweka mikakakati fulani baada ya vijana kulalamikia jeshi la polisi.
Agenda ya slaa wala kuongelea issu hiyo haikuwepo kabisa,
Tatizo la wabongo kila kitu wanakihusisha na suala jipya linalojitokeza au kukaribia kujitokeza.

Kunguru alisema "Binadamu hana kibiongo, ukiona anainama ujue anaokota jiwe".
 
Vijana wa Bukoba nawaomba msituangushe maana mmejionea wenyewe wenzenu wa Mwanza na Wilaya zake zote, Musoma na wilaya zake, huko Kahama.Kagasheki anawadanganya na mnaishia kwenda kwenye uwanja wa Kaitaba na kupewa pilau sijui wahaya mmebadilikaje hebu someni alama za nyakati kama ndugu zenu wasukuma.Lakini najua pamoja na nguvu atakazotumia huyo mh. atafanikiwa na maana vijana ni mtaji wa mabadiliko nchi nzima nitashangaa sana kuona vijana wa BKB mnabaki nyuma.Naamini huyo hamtamsikiliza akifika DR. wa ukweli mtampokea.

MUNGU IBARIKI TANZANIA
 
Ndugu acha uongo wako hapa kuhusu lengo la kikao hicho!
Labda kama unaongeza thread tu
Mimi natoka kwenye kikao hicho,nilikuwepo mwanzo hadi mwisho,kikao hicho hakikuwa cha agenda hiyo,Kilikuwa cha waendesha pikipiki wakijadioli hatima yao kuhusu mambo ya leseni za biashara na matatizo yao na polisi na wameweka mikakakati fulani baada ya vijana kulalamikia jeshi la polisi.
Agenda ya slaa wala kuongelea issu hiyo haikuwepo kabisa,
Tatizo la wabongo kila kitu wanakihusisha na suala jipya linalojitokeza au kukaribia kujitokeza.

ukweli utakuwa waziiiiiiiiiiiiiiiii tu! hakuna haja ya jaziba, ulitakiwa kusema yaliyotokea basi ndugu yangu. wote tuko pamoja.
 
Back
Top Bottom